Mwanamke mwenye mtoto/watoto, unapotafuta mume tafuta ambaye atakubaliana na hali yako

Moronight walker

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
3,105
4,635
Habari za j2 wana JF.

Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi?

Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu alikuwa anataka amlete mchumba wao kwao kujitambulisha, huyo jamaa anaishi USA so baada ya ndoa anamchukua na kwenda kuishi nae USA.
Wazee wakamuuliza wewe tayari unamtoto na jamaa anajui hilo akamwambia ndio. Vipi kuhusu na mtoto wako ukienda huko USA unaenda na mtoto, eti kasema anamuacha eti.

Daa alibadilikiwa na mzee wake na mama yake na kaka yake mkubwa nusu wampige Kofi. Hivi unakubalije mtoto unamuacha Huku na wewe kwenda USA , unataka mtoto wako akae na nani? Inavyoonyesha jamaa aligoma kwenda na mtoto USA. Baba wa mtoto alishakimbia na hataki hata watu wajue uwepo wa dogo.

Hivi kama wewe ni binti unaanzaje kumuacha mtoto kwa wazazi afu nani mlee? Tafuta mtu ambaye atakukubali wewe na mwanao usipopata basi endelee hivyo hivyo kukaa benchi.

Kuna jirani yetu hapa moro, binti alizalia home mtoto wa kike Jamaa aliyezaa nae kala kona mpk leo.
Baada ya yeye kuolewa kamuacha mtoto kwao kwa Baba yake na mama yake yeye yupo dsm kwa bwana wake anakula bata.

Daaaa.
 
Hao wazazi wa huyo binti ni wapumbavu sana, badala binti aende kwa mpiga boksi awarushie maokoto wanamzuia kisa mtoto.... akienda na mtoto watapata nini?
 
Safari ya mbali kama hiyo inafaa Mama aende kwanza akasome mazingira kabla hajambeba mtoto, sio kila anayeishi USA yupo njema, wengine wanaishi kwenye magari, wengine wana chumba kimoja tu, wengine kazi za kuunga unga ndio maana anataka kua na mwenza wasaidiane maisha, wote wakienda kazini mtoto ataangaliwa na nani?? wamuache mama aende, kukiwa poa atamchukua mwanae.
 
Habari za j2 wana JF.

Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi??

Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu alikuwa anataka amlete mchumba wao kwao kujitambulisha, huyo jamaa anaishi USA so baada ya ndoa anamchukua na kwenda kuishi nae USA.
Wazee wakamuuliza wewe tayari unamtoto na jamaa anajui hilo akamwambia ndio.
Vipi kuhusu na mtoto wako ukienda huko USA unaenda na mtoto , eti kasema anamuacha eti.

Daa alibadilikiwa na mzee wake na mama yake na kaka yake mkubwa nusu wampige Kofi.
Hivi unakubalije mtoto unamuacha Huku na wewe kwenda USA , unataka mtoto wako akae na nani???
Inavyoonyesha jamaa aligoma kwenda na mtoto USA.

Baba wa mtoto alishakimbia na hataki hata watu wajue uwepo wa dogo.

Hivi kama wewe ni binti unaanzaje kumuacha mtoto kwa wazazi afu nani mlee???
Tafuta mtu ambaye atakukubali wewe na mwanao usipopata basi endelee hivyo hivyo kukaa benchi.

Kuna jirani yetu hapa moro , binti alizalia home mtoto wa kike Jamaa aliyezaa nae kala kona mpk leo.
Baada ya yeye kuolewa kamuacha mtoto kwao kwa Baba yake na mama yake yeye yupo dsm kwa bwana wake anakula bata.
Daaaa.
Hao wazazi na ndg pamoja na wewe ni wachawi
 
Alafu nyie wanawake kuweni makini sana, mwanaume anakuambia tu nakupeleka USA, yaani huna elimu, huna profession yoyote, mwisho wa siku tunasikia hupatikani kabisa, kumbe umeuawa, watu wana uza figo, ini, moyo, etc

Kuweni makini sana na hizi safari nje ya nchi, humjui mtu yeyote huko zaidi ya huyo mwanaume, na mara nyingi mmekutana on social media, na ukute ni mnaigeria, plz plz ndugu zanguni kuweni makini kupitiliza, hasa wadada wa siku hizi, wanadhania wakienda ulaya au USA au nje ya Tanzania maisha ni matamu au mazuri sana kama waonavyo on social media, ukweli halisi ni tofauti..
 
Safari ya mbali kama hiyo inafaa Mama aende kwanza akasome mazingira kabla hajambeba mtoto, sio kila anayeishi USA yupo njema, wengine wanaishi kwenye magari, wengine wana chumba kimoja tu, wengine kazi za kuunga unga ndio maana anataka kua na mwenza wasaidiane maisha, wote wakienda kazini mtoto ataangaliwa na nani?? wamuache mama aende, kukiwa poa atamchukua mwanae.
Ila kuna sababu zingine maana dada huyu sometimes alikuwa anaficha mtoto hata kutembea nae anaona jau. Ndo maana hata wazazi walikuwa makini.
 
Habari za j2 wana JF.

Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi??

Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu alikuwa anataka amlete mchumba wao kwao kujitambulisha, huyo jamaa anaishi USA so baada ya ndoa anamchukua na kwenda kuishi nae USA.
Wazee wakamuuliza wewe tayari unamtoto na jamaa anajui hilo akamwambia ndio.
Vipi kuhusu na mtoto wako ukienda huko USA unaenda na mtoto , eti kasema anamuacha eti.

Daa alibadilikiwa na mzee wake na mama yake na kaka yake mkubwa nusu wampige Kofi.
Hivi unakubalije mtoto unamuacha Huku na wewe kwenda USA , unataka mtoto wako akae na nani???
Inavyoonyesha jamaa aligoma kwenda na mtoto USA.

Baba wa mtoto alishakimbia na hataki hata watu wajue uwepo wa dogo.

Hivi kama wewe ni binti unaanzaje kumuacha mtoto kwa wazazi afu nani mlee???
Tafuta mtu ambaye atakukubali wewe na mwanao usipopata basi endelee hivyo hivyo kukaa benchi.

Kuna jirani yetu hapa moro , binti alizalia home mtoto wa kike Jamaa aliyezaa nae kala kona mpk leo.
Baada ya yeye kuolewa kamuacha mtoto kwao kwa Baba yake na mama yake yeye yupo dsm kwa bwana wake anakula bata.
Daaaa.
Baba mtoto angesikia mwanae yuko US angeanza kujifanya anamtaka
 
Alafu nyie wanawake kuweni makini sana, mwanaume anakuambia tu nakupeleka USA, yaani huna elimu, huna profession yoyote, mwisho wa siku tunasikia hupatikani kabisa, kumbe umeuawa, watu wana uza figo, ini, moyo, etc

Kuweni makini sana na hizi safari nje ya nchi, humjui mtu yeyote huko zaidi ya huyo mwanaume, na mara nyingi mmekutana on social media, na ukute ni mnaigeria, plz plz ndugu zanguni kuweni makini kupitiliza, hasa wadada wa siku hizi, wanadhania wakienda ulaya au USA au nje ya Tanzania maisha ni matamu au mazuri sana kama waonavyo on social media, ukweli halisi ni tofauti..
Ni mbongo huyo jamaa.
Ila nikweli kwenda Ulaya au USA au nchi zingine kama huna professional yoyote ni kazi sana.
 
Unadhani USA ni sawa na Tandale kwa Mtogole? Kumbe mnamzibia mwenzenu bure hamjui hata mazingira ya huko aendako.... babu na bibi yake wapo, wewe anko wake upo, day care zipo, kubwa zaidi kuna kuweka mdada wa kumuangalia
Ndio hivyo wazazi wake wamegoma hasa mzee wake na kaka yake mkubwa.
 
Unadhani USA ni sawa na Tandale kwa Mtogole? Kumbe mnamzibia mwenzenu bure hamjui hata mazingira ya huko aendako.... babu na bibi yake wapo, wewe anko wake upo, day care zipo, kubwa zaidi kuna kuweka mdada wa kumuangalia
Afu pia naona ujanielewa yani jamaa kagoka kabisa kumchukua mtoto.
Yani ni ile kuwa mimi silei watoto wa mwanaume mwingine.
 
Back
Top Bottom