wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Muombe Mungu mabaya yaliyowakuta wengine wewe usikutanayo

    Maisha ni safari ambayo unakutana na matukio mengi njiani , muombe Mungu mabaya uliyowahi kuyasikia yakiwakuta wengine wewe yasikukute na pia usifurahie matatizo ya wengine maana kesho yako ni fumbo , usiseme ukamaliza weka akiba ya maneno
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii nchi ni ya Familia zisizopungua 50 wengine sisi ni wapangaji au Vidampa

    Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda. Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda. Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda Leo Maxi Mello walimwambia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siyo polisi wote ni wanyama naamini wengine wanaumizwa na yanayoendelea

    Huo ndiyo ukweli siyo polisi wote ni wanyama na kuna wengine hawapendezwi na yanayoendelea inchini kama kupiga watu kuteka mpaka kuuwa, Naamini hawa tutakuwa nao na ndiyo watakaotupa habari zote za nani aliyemuwa fulani na mengine mengi,tukeshe tukiomba saa ya ukombozi iko karibu sana
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Watu wengine huko wanalalamika kwanini Watanzania Mnajaza Viwanja vya CCM

    Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo " Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa wengine ni uhuru wetu. Tukinyamaza hata humu JF ipo siku. Ndio Maana Watibeli tunahangaika. Walianza CDM wameingia CCM. Who's next.

    Habari za Sabato! Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique. Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sio kila anaeenda choon bar anaenda kujisaidia wengine wanaenda kuhesabu salio wasiaibike

    Jana nilikuwa bar moja natafuta usingizi wangu ghafla nikasikia haja ndogo nilipoingia chooni nikakuta mwamba mmoja akihesabu mzigo wake wa kumikumi nikajua huyu jambo linaenda kumkuta Nikakumbuka Desemba 2024 Moshi Marangu nilikuwa nimekaa na girlfriend wangu pamoja na ndugu zake nikazungusha...
  8. Criss

    JamiiForums Tanzania Nini kinachofanya Rostam, Kikwete na wana mtandao wengine hadi leo wasikamatwe?

    Kwa mujibu wa taarifa za aliyekuwa Balozi wa Tanzania -inchi Cuba Mh H. Polepole zimeeleza tena kwa kuwataja majina miongoni mwa waliyohusika na kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh John Joseph Pombe Magufuli. Taarifa hizo amezitoa mbele ya camera tena kwa kuzirudia rudia kwa lengo la...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HII DHAMBI YA.KUZINI KWA KUTAMANI TU INGEANGALIWA UPYA JAMAN HUKO KUZIMU KUTAJAA SIJUI MTAWAWEKA WAPI WENGINE.. 😆 😂 😆 😂 😆

    ushauri tu viongozi wa dini tuliangalie hili upya kama ukiwezekana kufanyia marekebisho iwe hivyo mapema maana kila Misa ya marehemu tunayoenda Kuala nikikumbuka hii dhambi sioni anaerobooaa naona wote mlemle otherwise huko.motoni kutajaa jaman niongeze sauti sijui?? UUshauii tu
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuwateka wengine 4

    Wanakumbi. Kundi la Hamas limewaua wanajeshi kadhaa wa Israel huko Gaza na kuripotiwa kuwakamata wengine 4. Hata hivyo Israel imedai kuwa ni mwanajeshi mmoja tu aliyeuawa na wengine 11 wako katika hali mbaya. Israel imeweka udhibiti mkali wa vyombo vya habari kuhusu ripoti zinazohusiana na...
  12. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Gaza City: Hamas wateka wanajeshi wanne wa Israel huku wakiwaua wengine 9 katika shambulizi la kushtukiza

    Kikosi cha wapiganaji wa al qassam kimefanya shambulio hivi Leo na kufanikiwa kuwateka wanajeshi wanne wa Israel na kuuwa wengine 9 na kuacha majeruhi wengi. katika tukio linaloendelea katika mji wa Gaza. Helikopta 8 za jeshi la Israel zimeonekana zikibeba maiti na majeruhi kuwapeleka hospitali...
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wachinjanji wa wanyama, si busara kuchinja mnyama wengine wakiangalia mwenzao akichinjwa

    Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe. Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi kabisa wengine wakikojoa. Hakika nimejifunza kitu siku zote nilijua wanyama hawana akili kumbe wanazo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa DP world na wengine kwa Mama

    Yaani hiyo package wenyewe wanapata nini
  16. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

    Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba...
  17. PLOII

    JamiiForums Tanzania NENO LA TAREHE 27.08.2025; Ukipata Nafasi ya kuweka Misingi ya Haki Katika Taifa Fanya Hivyo Zama Hazigandi, Pole pole sio kulia Leo wengine somo Hilo

    Habari ya Wednesday Wana Jf, Neno la Leo Kwa ufupi, Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki. Nani asiyejua kuwa Kuna...
  18. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Askofu Michael Msonganzila: Wauaji wa Albino walipatikana kwa urahisi sana, kwa nini wauaji wa watu wengine ndiyo hawapatikani?

  19. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwenye Shamba la Wanyama kinachohitajika Sio Kumfukuza Binadamu, bali kuondoa Mentality kwamba baadhi ni Bora kuliko Wengine

    Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu). Kinachoendelea sasa katika...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Pole pole kama wewe umeshiba tuache wengine tule. Usitaki mwagia mchanga kwenye sinia la wali. TUTAONANA WABAYA

    Leo tutahakikisha huathiri maisha ya watu kwa namna yoyote. Wewe uliamua kuachia Ubalozi. Wengine bado tunataka tufanye kazi na tustaafu kwa Manufaa ya familia. Unalotaka kufanya ni kuharibia watu maisha na harakati. Jipime ndugu yangu. Usidhani hilo jambo lako litaleta mabadiliko. Halitaleta...
Back
Top Bottom