wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tman900

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wako ni Fursa kwa Wengine

    Pale unapokua na uhitaji wa kitu, au huduma Fulani we ndo Fulsa kwa Wengine. Ktk Maisha mambo ni mawili tu. Jambo Lenye kutoa pesa mfukoni mwako, na jambo Lenye kuingiza pesa ktk mfumo wako. Leo J2 Kumbuka wewe ni Fursa kwa Wengine.
  2. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Kumbikizi: Mengi alivovichua mafisadi papa wanaoitafuna nchi

    Polepole hajakosea, Marehemu Mzee Mengi huyu hapa. https://www.youtube.com/watch?v=aSNSXYBsV1M
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni wa wote, kwanini wengine wateseke?

    Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia. Watoto wanaokufa kwa njaa, watu wanaoteseka kwenye vita wasivyovianzisha wao, na waadilifu wanaoangamia pasipo msaada, yote haya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sowah, anakipaji anapaswa kutunza kipaji chake kwa Nidhamu na siyo kuvunja heshima ya watu wengine

    Sowah ni mchezaji mzuri, katika kuendelea kudhihirisha kile alichonacho, anahitaji kurekebisha vitu vichache tu Sowah, anahitaji kutengeneza kitu kinaitwa Nidhamu, katika kujenga uwezo wa kipaji na kukipalilia, mtu yeyote anahitaji ajiheshimu na kuheshimu wengine hata kama ni kwa jambo...
  5. Mkanaani

    JamiiForums Tanzania Kwani baadhi ya wanawake ni nini mnataka kwenye mahusiano? Punguzeni kuwaumiza wanaowekeza kwenu

    Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wengine humu ambao hamna hela au ni mimi tu nimechaguliwa kuwa kama mfano?

    Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson. Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
  7. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA. Akizungumza nje ya Mahakama...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Halafu kuna watu sijui walizaliwa na bahati gani wengine tulikosa, Yani mtu ana pendwa kila sehemu, watu wanajitoa kwajili yake, anaweza kuishi popote

    Hadi wengine mnaweza kudhani mlikanyaga chura au mlirukwa mkiwa wachanga na watu wenye mikosi 😂 Ni zaidi ya kismati waweza dhani kuna mitishamba Mtu yupo kawaida tu lakini hata azingue kazini bosi anaona kawaida, Iga wewe sasa !, mtu akifikia sehemu tayari kiwingu kimemzunguka cha watu, awe...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu. Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe" Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili" Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kibiblia mtumwa anachukuliwa kama mali na sio sawa na binadamu wengine

    Ee Mungu nisamehe kwa sababu kila ninavyosoma Biblia ndo ninakutana na maandishi yenye ukakasi yenye kutia hasira mno. Kwenye KUTOKA 21 tunaona kulikuwa na adhabu ya kifo kwa mtu atakayemuua mtu ila kulikuwa na adhabu isiyo ya kifo endapo mtu atamuua mtumwa wake. Na biblia imeandika kuwa mtu...
  14. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hizi barabara za Mwendo kasi zifanye biashara?

    Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar. Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko. Naamini kabisa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kudhurumiana wenyewe hawataki lakini kudhurumu wengine ni furaha

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho. Haya machungu ya kina Polepole wanadhani wapinzani huwa wanatania!!? Kila mara kuiba kura ,kuwaua na kuwazuia kufanya siasa na wakiongea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hatutaki Rais hajawahi kulinganishwa na wengine.

    Itakuwa ni akili Matope kama CCM itakubali Rais wao awe hajawahi kupimishwa ubavu na Makada wengine. Umakamu alipata kwa Jinsia, Urais alipata kwa Ajali na sasa Apate kwa kupewa tena, No hii haiwezekani
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  18. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mnatufungia mtandao Facebook unahusika nini na siasa zenu?

    Wengi Tunategemea sana kutangaza biashara zetu kupitia mtandao mnazima ili iweje ..nmepoteza hela. Mmefunga Twitter (x) , sasa hivi mmehamia Facebook. Fungueni hii mitandao, wengine siasa hatuzitaki ni ujinga tu.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mnafiki kama wanafiki wengine

    Siandiki mengi. Ila mtu huyu ni mnafiki mkubwa. Alikuwepo serikalini na Chamani wakati serikali aliyokua akiitumikia iliwatendea baadhi ya Watanzania kama wanavyotendewa Leo hii. Mbona hakujiuzuru. Mfano wagombea wote wa vyama vya upinzani kuenguliwa kwa vijisababu vya uonevu TU. Baadhi ya...
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnao Suka nywele, kutoboa pua na masikio wengine mkaona haitoshi mnajikrimu, je ni utanashati tu au kuna kingine?

    Wakuu Sote tunajua wazi sisi wanaume si wa mambo mengi. Ni rahisi sana kumkuta mwanaume ana suruali mbili na mashati matatu na hawazi wala kuongelea mavazi na ameridhika nayo wala hajari. Ni rahisi sana kwenda geto la mwanaume ukakuta hakuna lotion aina yoyote ila ana mafuta ya kupaka tu na...
Back
Top Bottom