Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
Hola! 🙋🏽♀️
Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k..
Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia nimesikia kwamba baadhi ya watu wanaofanya kazi ngumu au zenye msongo mkubwa (kama hospitali au...
Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa…
Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements.
Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School.
Lakini sasa sikia hii
➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo...
Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya??
Je kuna hap member nje na africa mashariki
Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka.
Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM.
Huwezi kufanikiwa kwa lolote kwa kumzuia mwenzako badala yake fanya mazuri yako. Sasa sera ya CCM ni kuzuia...
Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe.
Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba, hivyo tunaomba serikali iliangalie hili.
Walimu wameajiriwa lakini hawataki kuingia shuleni...
Anonymous
Thread
mmoja
msingi
mtaani
mwalimu
shule
shule ya msingi
tanga
wengine
Yaani hii dunia sijui kuna watu wanawachukuliaje watu wengine aisee utakuka kuna lijitu unampigia simu hapokei unampigia simu zaidi ya tatu hapokei na then baadae hakurudii sijui kuna simu zingine hazioneshi missed call au ndio dharau sasa utakuta mtu huyo akikupigia wewe simu wewe usipopokea...
BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA
NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU
AMEN
KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA BARCELONA NA ARSENAL WANAOMBA MAOMBI YAKO WAPATE AMANI NA FURAHA MAISHAN MWAOO
AMEN
Mshambuliaji aliwaua watu angalau wanane na kujeruhi wengi zaidi katika shule ya upili katika mji mdogo wa mlima wa Tumbler Ridge, Canada, siku ya Jumanne.
Mshukiwa ni mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye alikuwa ameacha shule hiyo takriban miaka minne iliyopita, polisi walisema. Alizaliwa...
Simulizi la awali la Muhammad kwa mkewe lilikiwa kwamba alipokuwa pangoni Hira, alitokewa na kiumbe wa ajabu ambaye aliamini alikuwa shetani au jini, huyo kiumbe alimwambia asome, akasema yeye hajui kusoma, yule kiumbe akaanza kumbana na kumwachia, akirudia tena na tena, akimlazimisha asome, na...
Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo. Wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za...
Serikali imesema itachukua hatua stahiki za kuwawajibisha Watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi na kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo ipasavyo pamoja na viongozi wanaodhalilisha Watumishi wa Umma hasa kwenye ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo
Hayo yamesemwa jana Januari 15...
My people,
Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani:
Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa
Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...