wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini ijengwe Sanamu ya Hayati Rais Magufuli peke yake na si Marais wengine?

    Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420. Sikatai ila nina hoja: Kwanini Magufuli? Mwinyi je? Mkapa je? Kikwete je? Hao Wote Walikuwa ni MARAIS wa NCHI na Kuna MAMBO MAKUBWA hata NAO WALIIFANYIA NCHI...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwadhulumu wengine wewe ukidhulumiwa unakuwa mbogo?

    Mzuka wanajamvi! Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwanini usipotezee tu. Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu? Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali. Si upotezee tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…