wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mavazi ya vijana wengi inabidi uangalie kifua ndio ujue jinsia yake

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa. Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana. Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha...
  2. S

    Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

    Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
  3. 16 - 22 Oktoba: Dar yarekodi Wagonjwa wengi wa #COVID19 Kimkoa. Waliougua nchini wafikia 26,154

    Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini Taarifa hiyo inaonesha kuwa mikoa 10 kati ya 26 imerekodi jumla ya wagonjwa 39 huku mkoa wa Dar ukiwa na wagonjwa wapya...
  4. Wanafunzi wengi hawataripoti vyuoni kwa sababu hizi

    Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +. Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza huku hela ya books and stationary 200000 ndo huwa inawapa confidence so wengi palehiwa wanakata kaka...
  5. Kuongeza bei za data, lengo ni kuibana internet isifikie wengi au ni kuota ndoto kwamba wananchi wana pesa za mchezo kununua mabando

    Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria. Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati. kwa sasa ndani ya miezi...
  6. Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  7. T

    Rais Samia ataleta siasa muafaka.Ni mtaalamu wa siasa ila wengi hawajui

    Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
  8. Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini. Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa...
  9. Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  10. Matarijio ya wengi ni Samatta achangie zaidi kama Ronaldo na Messi

    Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya Ronaldo na Messi ni pamoja na kupachika magoli kwenye mataifa Yao na kuamua matokeo. Tumuombee Samatta...
  11. Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  12. Je, tumpongeze aliyesema vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wana Ugonjwa wa akili au tumlaumu?

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya yule Mwananchi Reporter aliyeandika jana kuwa Vijana wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaugua Akili / Uwendawazimu anitumie kwani nami nataka Kumpima kama nae zimetimia au zimepungua.
  13. Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  14. M

    Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  15. Wachezaji Wengi Wa Simba SC Walioenda Kwenye Timu zao za Taifa Wamezisaidiaje?

    Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar. Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao. Ni timu moja tu...
  16. Yanga SC Inawachezaji wengi wanaotoka kwenye mataifa makubwa kimpira. Ndio maana hawaitwi katika timu zao za taifa

    Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada. Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa. Kiufupi iko hivi: Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana...
  17. RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba" Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze...
  18. Mapenzi ya watu maarufu yanavyofurahisha na kuhuzunisha wengi

    Teknolojia ya matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi na umekuwa kama uwanja wa fujo kila mmoja anautumia apendavyo. Kwa baadhi ya wenye majina makubwa, wakiwamo wasanii kwao ni tofauti kidogo, kwani watake wasitake ‘watatrend’ mitandaoni iwe kwa ‘kujiposti’ au ‘kupostiwa’ na mashabiki...
  19. U

    Makabila yanayoongoza kwa watu wengi wenye kipato kidogo na kikubwa nchini

    Makabila yenye idadi kubwa ya watu wenye mpunga mwingi 1. Chagaz 2.Kingaz 3. Zaramoz Makabila yaliyofulia zaidi 1.Gogoz 2. Kondez 3. Nyirambaz n Iraqis Huu ni ukweli na Wala haihusiani na kuwa mbaguz Mimi ni mhehe Kama kigogo
  20. Kuwa na wapenzi wengi inakulazimu kutokana na Mazingira

    Nilikaa Juliana Pub, kadri muda ulivokuwa unaenda aisee kitu nilicho kiona ni ongezeko kubwa sana la watu ilikuwa wanaoongezeka zaid ni wanawake yan walikua wengi kuliko wanaume, nikatoka nikaingia Tips the same wanawake wamefurika kuliko wanaume. Nikabadili chimbo nikaingia Maison na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…