Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,762
- 27,493
K
Kutoka kwa Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby wakati wa ibada ya mazishi:
Aliwaambia waliohudhuria mazishi ya Malkia kwamba huzuni iliyowapata wengi imetokana na "maisha ya UKARIMU na huduma ya UPENDO ya Malkia, ambayo sasa imetutoka".
Aliendelea: "Watu wanaotumikia kwa UPENDO ni nadra sana katika nyanja yoyote ya maisha. Viongozi wa huduma ya UPENDO bado ni wachache. Lakini katika hali zote, wale wanaohudumu watapendwa na kukumbukwa kwa muda mrefu, wakati wale wanaong'ang'ania mamlaka na upendeleo na kuumiza wengine kubaguana, wanasahaulika mara moja. Huzuni ya siku hii, si tu kwa familia ya marehemu Malkia lakini ya taifa lote, Jumuiya ya Madola na dunia kwa ujumla.
Tafakari somo hili.