Rais Samia akizungumzia juu ya uraibu wa dawa za kulevya imebainika kuwa wanaume wengi ni waraibu ukilinganisha na wanawake. Amesema mwaka 2018 waraibu 1600 walisajiriwa. Na hali ilivyo hivi sasa waraibu wanaohudumiwa ni zaidi ya 2000 ambapo wanawake ni hawazidi 150 na wanaume ni zaidi ya 2000...