#COVID19 Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,806
11,968
Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo.

Katika taarifa ya Mganga Mkuu wa serikali Dkt Aifello Sichalwe, imeeleza kwamba idadi ya wagonjwa walioko Dar es Salaam ni sawa na asilimia 87.5 ya visa vyote huku mkoa wa Arusha ukiwa na visa 6, Kilimanjaro wawili, Morogoro mmoja na Mwanza ina mgonjwa mmoja pekee.

Aidha, taarifa hiyo imeeleza kuwa kuanzia mwezi Aprili hadi Mei 4, 2022 hakukuwa na kifo kilichoripotiwa kutokana na ugonjwa huo, pia wagonjwa wawili walilazwa kutokana na ugonjwa huo ikielezwa kuwa wote walikuwa hawajachanja.

Uviko 1.jpg

Uviko 2.jpg
 
Tutaambiwa hela ya kuongeza watumishi mishahara imeingizwa kwny kupambana na COVID-19
 
Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo.

Katika taarifa ya Mganga Mkuu wa serikali Dkt Aifello Sichalwe, imeeleza kwamba idadi ya wagonjwa walioko Dar es Salaam ni sawa na asilimia 87.5 ya visa vyote huku mkoa wa Arusha ukiwa na visa 6, Kilimanjaro wawili, Morogoro mmoja na Mwanza ina mgonjwa mmoja pekee.

Aidha, taarifa hiyo imeeleza kuwa kuanzia mwezi Aprili hadi Mei 4, 2022 hakukuwa na kifo kilichoripotiwa kutokana na ugonjwa huo, pia wagonjwa wawili walilazwa kutokana na ugonjwa huo ikielezwa kuwa wote walikuwa hawajachanja.

Jamani chanjo siyo
 
Fursa nyingine hiyo, tuibadilishe iwe pesa.
 
Back
Top Bottom