wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Watanzania walio wengi hawatumii nukta wala kituo

    Watanzania wengi wa elimu katika ngazi tofauti tofauti si watumiaji wa nukta au kituo katika uandishi. Habari inaandikwa paragraph nzima mistari kumi no mkato no nukta. Je, changamoto ni wazazi wetu, waalimu au ni utamu wa Kiswahili?
  2. Matetemeko ya Ardhi yaliyoua watu wengi Zaidi Duniani ndani ya Miaka 10

    Taasisi ya National Earthquake Information Center (NEIC) inayochunguza Taarifa kuhusu Tetemeko la Ardhi, inakadiria kuwa Matetemeko 20,000 ya ukubwa tofauti yanatokea duniani kote kila mwaka sawa na wastani wa Matetemeko 55 kila siku. Mwaka 2021, Dunia ilipigwa na Matetemeko 2,200 yenye ukubwa...
  3. R

    Kwanini waumini wengi wa Dini ya Kikristo wanaamini mkristo aliyefanikiwa ni mchawi au anatumia nguvu za Giza?

    Wakristo wengi wanamwomba Mungu awape maarifa ya kutafuta Mali.Wengi wanafanikiwa; wakifanikiwa Tu wenzao uacha kumtukuza Mungu Kwa kumpa utajiri mwenzao badala yake umwita freemason. Wachungaji wote waliofanikiwa nchini wanaitwa freemason. Wafanyabiashara nao freemason. Je, Mungu wa wakristo...
  4. Kama tunamuomba Mungu atuepushe na majaribu ni kwanini aliruhusu unywaji wa pombe ambao umefanya wengi kuwa walevi?

    Wasabato mkae pembeni hili haliwahusu Sijawahi kuelewa hata kidog haya mambo ya unywaji na ulevi, huwa naonaga ni kama tiketi tu ya kuhalalisha ulevi. Kama ni mlevi ama uliwahi kuwa mlevi wa sigara, bangi, pombe, ngono zembe, kamali, n.k. basi unajua fika kwamba siku ya kwanza huwa ni kujaribu...
  5. Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  6. Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

    Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike. Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume. Wa kiume hela zao ni za kulisha na kunywesha na kustarehesha wanawake Pia wanawake tunaroga sana wanaume ili tupate control ya...
  7. Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

    Hebu andika sentensi ya maneno kumi tuone uwezo wako wa kuandika Kiswahili.
  8. J

    Hayati Magufuli hayuko duniani lakini ana watetezi wengi kuliko wenye fedha walio hai

    Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana. Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
  9. Wazazi/ Walezi pambaneni na wahitimu wa darasa la saba, kwa bahati mbaya wengi wanauelewa usioridhisha

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako kidato cha kwanza. Sitawazungumzia hao waliopita kwakuwa sina uzoefu nao, ila nataka kuwazungumzia hawa...
  10. Wanawake wa kwanza kuzaliwa (first born) sipatani nao na mahusiano hayadumu. Je, ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello mambo JF Crew!! Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na dharau nyingi, wanapenda kunyanduliwa hovyo hovyo hasa wenye majina E, A nikisikia herufi hizi nakata...
  11. T

    Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  12. Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  13. Nimekutana na Watanzania waliosoma Ulaya, hawana kumbukumbu nyingi za social life, ni wengi wapo kama hawa?

    Kutokana na mazingira nayofanyia kazi zangu kuwa karibu na taasisi flani inayo husika na walengwa, nimeweza kujuana na baadhi yao waliosoma majuu sanasana wale wa ulaya ambao kwa sasa wapo Bongo. Wengi wana mengi ya kushare hasa kwenye suala zima la elimu jinsi walivyoweza kupata sponsorship...
  14. Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  15. Nini kimefanya Rwanda na Burundi kuwa na watu wengi namna hii?

    Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000. Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo...
  16. NBS: Wanawake wengi Tanzania wana vitambi

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  17. M

    Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  18. Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  19. Ni sababu zipi za msingi zilizosababisha Wakuu wa Wilaya wengi kiasi hiki kuhamishwa vituo vyao vya kazi?

    Nimestushwa Sana na taarifa iliyotolewa Ikulu, ikionyesha kuwa wakuu wa wilaya 48, wamehamishwa vituo vyao vya kazi. Hivi Rais anawezaje kuwahamisha wakuu wa wilaya 48, Ili waende kwenye vituo vyao vipya vya kazi? Pia nimuulize Rais, je alipokuwa anafanya uteuzi huo, hakujua mapungufu ya...
  20. R

    Kwanini wakuu wa Wilaya wengi vijana wameshindwa kuuweka ujana wao kwenye matendo?

    Tulitegemea uteuzi wa vijana uwe chachu ya mabadiliko lakini imekuwa kinyume chake; most of them it's like wakishateuliwa wakaingia ofisini wanaanza kujiandaa kutumbuliwa au kustaafu. Hatuoni kasi ya viongozi vijana kwenye maeneo yao ya utawala. Leo Rais amewatumbua baadhi nakuweka sura mpya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…