wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Nchi kumi za Afrika zinazoongoza kwa mitara (ndoa za wake wengi)

    Wanaume wa western Africa pengine ni wanaume zaidi ya wale wa southern, northern na eastern Africa kwani kwenye hii list 1-10 ya wenye mitara wanatoka nchi za Africa magharibi. 1. Burkina Faso: 36% 2. Mali: 34% 3. Gambia: 30% 4. Niger: 29% 5. Nigeria: 28% 6. Guinea:26% 7. Guinea-Bissau:23% 8...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi kauli ya hauna connection na GPA haina maana inavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu kuwa na matokeo duni vyuoni

    Habari wanajamvi, Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma Moja ya sababu ni kumekua na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kusikia sauti za watu wengi zikikupigia kelele za mwizi huku zikikujia na hatimaye ukakimbia, kituko gani kingine bangi imewahi kukufanyia?

    Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na kocha wetu na timu ilikuwa na mchanganyiko wa watu mbalimbali; wavuvi, wa vijiweni tu na siye...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

    Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe. Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Keyboard Warriors' wengi hasa wa hapa JamiiForums ukikutana nao hutoamini kuwa ndiyo Wao kwa jinsi walivyo?

    Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini. Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti: Uchunguzi wabaini Wachezaji wengi vijana Gabon inadaiwa wananyanyasika kingono

    Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30. Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
  7. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Press Release ya TANESCO ya jana ilivyo na Pumba nyingi nimeamini Tanzania ina Wasomi wengi ila wasio na Akili

    GENTAMYCINE namuomba huyo Mtu wao wa PR / Communication aachie Ngazi kwa Taarifa ile ya Kipuuzi yenye Pumba nyingi na iliyotuachia Maswali mengi Sisi Great Thinkers wa Kutukuka.
  10. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wengi siku hizi hawatoi risiti

    Shida ni nini kila napoingia maduka makubwa makubwa nanunua bidhaa mbalimbali lakini naona sipewi risiti pia wanunuzi wengine nao waona naona hawapewi risiti Nikiagiza bidhaa hapo kariakoo bidhaa zinakuja mikoani bila risiti Haya makusanyo wanayoyatangaza TRA kua wanakusanya Tillion 2 kila...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kiafrika wanakubaliana na Demokrasia kama njia bora ya Uongozi

    Vijana wa Afrika wanazidi kupaza sauti zao, na ujumbe wao ni wazi: demokrasia ni mfumo bora wa serikali ambao nchi zao zinapaswa kuufuata. Utafiti wa African Youth Survey wa mwaka 2022 unaonesha idadi kubwa ya vijana wa Kiafrika, kutoka katika nchi mbalimbali za bara hilo, wanaunga mkono...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  13. JamiiForums Tanzania "Wazuri ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa" kasema kweli diamond

    Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
  14. JamiiForums Tanzania Neno "Unaniimiza", vilio na vitendo vya kuonyesha anaumia ndivyo hupandisha midadi wanaume wengi kujiona rijali, Je wanaume kwa asili ni wabakaji ?

    Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali. Ila pia kuna kufeki maumivu, wanaume wengi hasa wanaotoka vijijini kuja mjini wanakuwa wahanga wakikutana na wadada wajanja...
  15. JamiiForums Tanzania Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

    Habari Wakuu! Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako. Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry, Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya. Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za...
  16. JamiiForums Tanzania Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  18. JamiiForums Tanzania Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

    Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya, Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule. Yesu tusaidie wanaume. Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  20. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…