wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  2. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  3. JamiiForums Tanzania CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi

    CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi. 1) Rais alishinda Uchaguzi 2020 kwa 84.4% haijawahi kutokea. 2) Wabunge na madiwani wote walishida Uchaguzi 2020 isipokuwa wachache na haijawahi tokea mpaka kuchukua jimbo la Mbowe. 3) Uchaguzi wa serikali za mitaa CCM ilishida na...
  4. JamiiForums Tanzania Naamini njia hii unaweza kuwaleta watu wengi zaidi kwenye Uislamu kuliko njia anazo tumia Prof. Mazinge

    Prof. Sheikh Habib ibn Othman ibn Mazinge amefanya Kazi kubwa Sana ya kuhubiri uislamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kuwaleta watu wengi katika uislamu. Anahitaji pongezi kubwa Sana However ipo njia moja ambayo umma wa kiislamu una I underrate. Njia hii ikitumika inaweza kuwafanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanakataa chanjo ya Corona?

    Baada ya kamati ya corona iliyoundwa na Rais wetu Mh Samia suluhu kupendekeza Wantanzania kupata chanjo, Watanzania walio wengi wamepinga sana kupata chanjo ya Covid 19. Kwa hali Hii serikali inatakiwa iangalie kwa namna nyingine kwa Maana nchi na uongonzi wake ni watu ambao ni watanzania wala...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

    Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali. Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini? Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume wengi huwapenda zaidi watoto waliopigiwa kuliko watoto wao wa damu?

    Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa. Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu anapigiwa na kinatoka kitu tofauti na yeye. Unakuta dingi jeusi kama dhambarau lakini mtoto white na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza upya siyo vibaya, kwa Wakuu wa Wilaya/Mikoa si Sabaya peke yake, wapo wengi waliovunja haki za binadamu

    Mama kwa heshima na taadhima,kwanza nikushukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya mkuu wa wilaya ya Hai mheshimiwa Sabaya, na kwa kuwa la Sabaya umesema lichunguzwe maoni yangu kuhusu yeye ninayaweka kando. Ila mama nikumbushe kitu kimoja, umefungua mlango ambao haukupaswa kufunguliwa,ila tu kama...
  9. JamiiForums Tanzania "Emotion Intelligence" ya Watanzania wengi ipo chini sana na sababu kuu zipo wazi kabisa

    1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa. 2...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa CCM wanatetea siasa chafu za Sabaya?

    Vijana wengi hasa wasio na ajira waliingia CCM sio kwa kukipenda chama bali kutafuta ridhiki na ajira za upendeleo ndani ya chama na serikali, huku role models wao wakubwa wakiwa akina Makonda, Polepole, Hapi, Mwigulu, Gambo, Sabaya, Murro, Shaka, Musiba, Habibu na wengine wengi. Mienendo na...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

    Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa. Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa wilaya wengi wana tabia kama za Ole sabaya labda uwatoe Gondwe na Jokate, Sabaya media imemponza!

    Wakuu wa wilaya wengi tu uongozi wao hautofautiani sana na wa Ole sabaya sema tu Ole kiki za kutumia media ndio zimekuwa zikimuumbua. Lakini kuna maDC na maDAS wana roho za uovu kuliko huyo Ole sabaya. Fuatilia utagundua ukweli. Naamini tochi ya mama itamulika kabati zima na kuuwa chawa wote...
  14. W

    JamiiForums Tanzania TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

    Na Chotipembe Ntuguja. Matumizi ya fedha za ruzuku ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) yaimeibua maswali mengi miongoni mwa watendaji wakuu wa chama hicho. Chanzo chetu cha habari ndani ya CHADEMA kimedokeza kuwa kumekuwa na uhamisho mkubwa wa fedha mara tu ruzuku inapoingi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya Wachambuzi tulionao tunawahitaji kina Haji Manara wengi

    Naanza kwa kusema 'BIG UP' kwa Manara kwa kueleza waziwazi bila woga kitendo kibaya mno kilichofanywa na Yanga, kukimbia mechi bila kujali umati ule uliojazana pale kwa kivuli cha kanuni. La pili ambalo nalo linastahili pongezi ni kuonesha uzandiki kwa wanaojiita Wachambuzi...kwa kutetea na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana. Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Janja ya nyani: Tuoleane, Ukioa kwangu sitakutoza mahari! Huku nikijua kabisa sina mabinti wa kutosha kuozesha maana wengi walishaolewa

    Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa. Japo kila jamii inapewa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

    Nimelichunguza hili kwa baadhi ya marafiki, ndugu na baadhi ya watu. Wengi walioishi nje ya nchi miaka kadhaa wanarudi hawana hata copy ya nchi waliyotoka. Yuko jamaa anaishi Urusi aliondoka mimi nikiwa darasa la 6 mwaka 2001 hadi leo hii jamaa huko hana mtoto wala mke. Mfano mwengine ni...
  19. JamiiForums Tanzania Je, niliyestushwa na hii kauli 'tata' ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogole ni peke yangu tu au tupo wengi? Mama kuwa makini sana!

    " Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi " Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Upepo uliovuma Kunduchi mida ya saa 10 wengi walihisi ni kimbunga Jobo!

    Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote. Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo kimeibuka ghafla. Ramadhan kareem!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…