kachwankizi
Member
- Sep 9, 2024
- 81
- 124
Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa.
Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha, elimu, teknolojia, mapenzi au burudani? Sababu ni nini na muelekeo wa taifa ni upi?
Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha, elimu, teknolojia, mapenzi au burudani? Sababu ni nini na muelekeo wa taifa ni upi?