Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
186
Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada.

Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu ikifika saa sita Mchana anarudi kwenye gari anajifungia anatulia humo mpaka jioni saa 12 jioni ana Washa gari anaondoka.

Kwa bahati mbaya hakuna aliye jua huyu dada anatokea wapi mana alikuwa ni sura ngeni na wengi tulikuwa tuna mashaka naye huku tukihisi labda ni usalama wa taifa Kuna jambo anachunguza.

Toka hiyo Jumanne ni jumapili tu ndo hakuja ila siku zote zingine alikuwa anakuja anashinda hapo na gari lake ikifika jioni anaondoka.

Sasa bwana, Jana gari ilishinda hapo ila ilivyo fika jioni gari haikuondoka, mpaka ikafika saa mbili usiku ikabidi akaitwe Balozi akaja akawa anamgongea Ili afungue, lakini hakufungua, waligonga mpaka nusu saa lakini kimya, ikabidi ipigwe simu polisi, ndo wakaja.

Sasa polisi walivyo fika wakaangalia gari haina plate namba, ila siku zingine alizo kuwa ana paki plate namba zilikuwa Zina kuwepo, ila Jana gari ilionekana haina plate namba, polisi ikabidi wajaribu kuvunja kioo, ndo wakamkuta dada wa watu kalala alisha fariki muda sana huku kaacha ujumbe.

Inasemekana kuwa, huyu dada nyumbani kwake alikuwa na mdada wa kazi, Sasa yule mdada wa kazi akaja kuomba kuacha kazi arudi kwao, kumbe bwana alikuwa na ujauzito wa mume wa huyu dada, Dada wa kazi hakurudi Kwao baada ya kutoka hapo alipelekwa kupangishiwa nyumba na mume wa huyu dada.

Sasa huyu Dada baada ya kujua hilo jambo ndo shida ilianzia hapo, alipitia changamoto nyingi sana, mawazo sana Kupita kiasi na alishindwa kupokea hilo jambo.

Kumbe alikuwa akiaga anaenda kazini ila akawa anakuja Kushinda hapo kutokana na msongo wa mawazo alio kuwa akipitia, Dada alikuwa ni muajiriwa wa serikali.

Dada ameacha mtoto mmoja wa miaka Saba, mimba inasemekana ziligoma baada ya Kuzaa huyo mtoto mmoja tu.

Aisee hii Ime huzunisha watu wengi sana tuliamini ni usalama wa taifa kumbe mtu ana teseka.
 
Aiseee afya akili imekuwa changamoto kubwa sana
 
Mtibeli Robert Una cha kucomment hapa?
 
Kuna tofauti kati ya Mke/Mume wa kujitafutia mwenyewe na Mke/Mume wa kupewa na Mungu!
 
Kwa Kifupi Sana:

Mwanamke mmoja alikuwa akija kila siku kupaki gari karibu na uwanja na kukaa hapo kwa saa kadhaa, jambo lililowafanya watu wahisi labda ni afisa wa usalama. Siku moja hakurudi nyumbani; alipokaguliwa na polisi alikutwa amefariki ndani ya gari akiwa ameacha ujumbe. Inadaiwa alikuwa na msongo mkubwa wa mawazo baada ya kugundua mume wake alimpa ujauzito mfanyakazi wa nyumbani. Ameacha mtoto mmoja wa miaka saba.

👆 Inasikitisha Sana.
 
Back
Top Bottom