Ripoti mpya ya Furaha Duniani (World Happiness Report) ya mwaka 2026 iliyotolewa Machi 19, 2026, imeendelea kuiweka Tanzania katika orodha ya mataifa yasiyo na furaha.
Katika utafiti huo uliohusisha nchi 147, Tanzania imeshika nafasi ya 138, ikiingia kwenye kundi la nchi 10 zisizo na furaha...