Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.
Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki...
1. Maisha ya Utumwa na Baharini
•Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za Charleston. Huko, alijifunza kila kitu kuhusu meli—jinsi ya kuziongoza, ramani za majini, na jinsi jeshi la...
Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916
Mazishi
Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao
Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu
Jifunzeni kutatua...
Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule kuanzia Kesho Nitawaleteeni Makala Nzuri sana ,makali ya kuvutia ,makala ya kutoa Elimu ,makala ya kuwafumbueni Macho ,makala ya kuwaondoeni upofu wa akili na macho. juu ya ulaghai wa Wazungu kwa Walibya na Libya katika Mtego uliotegwa na kuwanasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022...
Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi
Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima bwana mdogo afanye makosa mengi ila kama watu wazima ilitakiwa kumsimamia na kumsaidia vizuri...
GT
Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?.
Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko kutimiza wajibu ila ukweli ni kwamba kama ninyi watanganyika hamtakuwa tayari kuamua hatma ya nchi yenu...
Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani
Vimewaponza kwa kupoteza maisha
Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu
Vimewaponza kwa kupata ulemavu wa kudumu
Vimewaponza kwa kupata kesi mbalimbali zikiwemo za mauaji...
Habari zenu wakuu.
Mtu smart hawezi kutengeneza nucrea inayo weza kuuwa au kuanga miza watu hata yeye mwenyewe akiwemo na kuitunza ndani kwa lengo la kuja kuwa dhuru wengine na yeye mwenyewe akiwemo huyo haipaswi kuitwa mtu smart Bali mwenda wazimu
Mtu smart hawezi kuwakamata binadamu wenzie...
Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini.
Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide.
unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia mwenyewe hapo chini. Nimeshangaa sana. Kwa kweli teknolojia inakua sana.
Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa.
Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu.
Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu.
Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia?
Au ni kitu gani hapa AFRICA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.