wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia yawakosha Watanzania. Waomba irudiwe kwenye vyombo vya habari kwa mwezi mzima mfululizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tumepata Rais ,tumepata kiongozi imara,tumepata nahodha hodari,tumepata jemedari shupavu. Watanzania Tumepata Amiri Jeshi Mkuu Shupavu , Madhubuti na Shujaa kwelikweli. Tuna kila sababu ya kujivunia kuwa Na Rais Samia kitini. Tuna kila sababu ya kusema asante...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!

    Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wazungu hawa hawa ndio tunaowalaumu kwa matatizo yetu au wengine

  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana chuki mno na Lamine Yamal. Ni kutokana na rangi yake tu

    Zimekuwepo tabia za wazungu kuwabagaza wachezaji wenye asili ya Africa kutokana na wivu walionao tu na ubaguzi wa rangi Nakubali Lamine Yamal ni kijana mdogo japo ni star, Kwa umri wake laZima bwana mdogo afanye makosa mengi ila kama watu wazima ilitakiwa kumsimamia na kumsaidia vizuri...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanzania Mnapowalilia wazungu Mnataka wao ndo waje Waandamane kwa shida zenu na Viongozi wenu wa Hovyo

    GT Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?. Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko kutimiza wajibu ila ukweli ni kwamba kama ninyi watanganyika hamtakuwa tayari kuamua hatma ya nchi yenu...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nadharia za wazungu wa unga (Theorem of the cartels)

    Ndoto za mafanikio, ajira, kipato na tamaa za kumiliki mali kwa njia za mkato vimewaponza wengi sana duniani Vimewaponza kwa kupoteza maisha Vimewaponza kwa kupata majeraha na makovu ya kudumu Vimewaponza kwa kupata ulemavu wa kudumu Vimewaponza kwa kupata kesi mbalimbali zikiwemo za mauaji...
  8. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuniambia mzungu ndiye kiumbe aliye staarabika huku yeye ndiye mwanzilishi wa biashara ya kuteka nakuuza binadamu

    Habari zenu wakuu. Mtu smart hawezi kutengeneza nucrea inayo weza kuuwa au kuanga miza watu hata yeye mwenyewe akiwemo na kuitunza ndani kwa lengo la kuja kuwa dhuru wengine na yeye mwenyewe akiwemo huyo haipaswi kuitwa mtu smart Bali mwenda wazimu Mtu smart hawezi kuwakamata binadamu wenzie...
  9. LUKAMA

    JamiiForums Tanzania VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

    Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini. Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona maajabu ya JF. Ina uwezo wa Kutabili kesho muda ambao mtu atapost Jambo. Hii hata Wazungu hawajaweza.

    Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide. unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia mwenyewe hapo chini. Nimeshangaa sana. Kwa kweli teknolojia inakua sana.
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

    Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Pesa inanunua kila kitu AFRICA tu na sio nchi za wazungu.

    Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu. Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu. Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia? Au ni kitu gani hapa AFRICA...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazungu waongoza kuwa waajiri bora zaidi duniani

  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm...
  16. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna wazungu wengi mno, nipeni mbinu za kupata jimama a.k.a lishangazi la kizungu

    Serious kabisa nitumie njiia Gani kupata jimama la kizungu hata 50's Six part na fluent English Tayari ipo
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tumeshindwa kusimamia miradi na kutumia rasilimali zetu kwa manufaa yetu. Ni vyema tukakiri udhaifu huu na kuwaleta wazungu watusaidie

    Waafrika wengi wanapokuwa nje ya mfumo rasmi huonyesha dhamira ya kweli ya kutetea haki na kuleta mabadiliko. Hata hivyo, wanapopata nafasi za mamlaka, husahau majukumu waliyoahidi kuyatekeleza. Madaraka hubadilika na kutumika kwa manufaa binafsi, kutumia kodi na misaada kama pocket money...
  19. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wa Kibongo wanaolewa sana na wazungu wazee

    Vitoto vya 2000 havina utani, akija mzungu kajichokea huko Ulaya wazungu wenzake wanamkataa anakuja kujibebea kitoto cha 2000 kirahisi Mademu wanapenda wazungu hata kama akiwa na umri wa Babu yake yeye hajali
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuuliza ndiyo kujifunza nisaidieni hili swali mliokwisha fika nchi za wazungu

    Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika? Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk * ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze Shukrani.
Back
Top Bottom