wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wachina waliojaa bongo wangekuwa wazungu NCHI ingekuwa mbali sana

    Mahali popote mzungu amepita kutafuta riziki huwa panaqchwa katika Hali Bora. Williamson alitoka Canada Hadi misungwi kabla ya uhuru. Akaishia Mwadui na kuacha mji wenye hadhi ya juu sana. Ukienda KWA Mzungu Barrick Kahama na Nyamongo ni miji inayokuwa KWA kasi na wafanyakazi hawajachoka sana...
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ukitoa wazungu, Ulokole ndio Ukiristo halisi wa Africa

    Hizi taasisi unazoziona zimesimama, kama vile Roma au Lutheran, ni utaratibu na misingi ya wazugu na haina uhusiano na ukiristo, hata ile chain of command mfano utoka papa hadi muumini wa kawaida pale kimara temboni, ni taratibu za kizungu ambazo hazina uhusiano wa moja kwa moja a ukiristo...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna taifa la magharibi lenye wazungu wengi wajinga kama Marekani ?

    Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kama wazungu walipingana katika Ukristo kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?

    Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo? Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu wenyewe wangepinga kwa kuanzisha madhehebu tofauti? Na kwanini ktk madhehebu ya kikristo hakuna hata...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  6. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo, basi ndiye aliyeruhusu Waafrika tutawaliwe na wazungu

    Uhali gani mwanaJamii Forum? Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school ambapo baada ya hapo niliamua kuachana na hili somo nilipofika chuo kikuu na kilichosababisha ni...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, kujenga viwanda vya madawa

    Natazama hapa Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, ati kujenga viwanda vya madawa. Kwanza, Kuna kiwanda cha madawa ya kukuua vidudu vya mbu Kibaha. Kiwanda hiki kimejengwa kwa ushirikiano na nchi ya Cuba. Kiwanda vile vile kinazalisha dawa za binadamu. Serikali yenyewe...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa WAAFRIKA kusafisha mabaki ya wazungu na warabu na tamaduni zao ndani ya AFRIKA

    Waafrika tusipochukua hatua kali dhidi ya wazungu na warabu na kuondosha mabaki yao i.e:mratoes ndani ya AFRIKA watakuja kutusimbua na kutuwala tena kwani mtu akila nyama ya mtu haachi milele. Mfano mzuri ni huko Afrka Kusini ambako mabaki ya Wazungu wanadai uhuru wao ndani ya Afrika Kusini...
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu?

    Wazungu huwa wanaomba visa kuja huku kwetu? Maaaana sisitunavoteseka kuomba hizo viza ni aibu kila mwez ubalozin
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

    Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye? Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwa maovu waliyotendewa WAAFRIKA kutoka kwa warabu na wazungu kupitia Yesu na Muhamad naweza sema hawa ndiyo SHETANI WENYEWE

    Habarini za usiku, Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe? Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
  12. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Muuni atema madini "Uislamu unatukuza waarabu, Ukristo unatukuza wazungu"

    Jamaa ukimuona unaweza kudhani ni muuni tu asiye na madini au asiyejua chochote, lakini ukimsikiliza ndio unajua anafahamu vitu vingi ambavyo hata watu wenye kuvaa vizuri hawavijui wala kuwa na Elimu navyo https://youtu.be/2YU9_VZnA64
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  15. I

    JamiiForums Tanzania Karibu wazungu 70,000 wa Afrika Kusini wajiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani

    Wazungu karibu 70,000 wa Afrika Kusini wamejiandikisha tayari kuhamia nchini Marekani kufuatia tangazo lililotolewa na na rais Donald Trump. Hivi karibuni rais Donald Trump wa Marekani alisaini "Amri ya Kiutendaji" inayowaruhusu wazungu wa Afrika Kusini ambao wangependa kuhamia nchini Marekani...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  17. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  18. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ngono ndo chanzo cha umasikini wa waafrika acheni kuwasingizia wazungu juu ya umasikini wenu

    Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia. Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja kuliko race zingine. Ngono ni nini ni tendo la kiroho na kimwili kwa...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu kuzaa mtoto mweusi kama hii picha nn kinatokea??

    Omba isikutokeee sikia kwa watu
  20. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kama kweli wazungu wanaipenda Africa basi wasimamishe misaada mara moja

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja Africa tunajiweza sana Tuna uwezo wa kununua magari mazuri ya kila aina Leo ungeuona msafara wa mama samia ndo...
Back
Top Bottom