Nuclear bomb, wazungu wa AK walikuwa nalo!

Nuclear bomb, wazungu wa AK walikuwa nalo!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,529
Reaction score
18,046
Wakati wa apartheid wazungu wa ak walikuwa na nuclear bomb, waafrika walivyoingia moja ya masharti walipewa ni kubomoa nuclear weapons kabla ya apartheid kuisha, nelson mandela akakubali akapewa uraisi na mwishowe kujengewa sanamu london na nobel prize juu, leo hii ak wanahangaika na umeme na wanaomba hata tu umeme wa nuclear wananyimwa …

sanamu la mpenda amani mandela, london
1750605224353.jpeg
 
Back
Top Bottom