wazungu

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent. It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (but the word changed to become vozongo in malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazungu wana VAR wanakosea, sisi hatuna tunafungia waamuzi wetu

    Nani ameturoga? Kumfungia mwamuzi bila kudhibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa mwanafuzi amekosea kwa makusudi na siyo kwa bahati mbaya ni kuonyesha namna tunavyodharaulika duniani. Ni nani ana ushahidi kuwa waamuzi wetu wamekosea kwa kudhamiria? Hata sisi watazamaji tunategemea fursa ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

    Habari JF, ni zaidi ya Mwaka sasa tangu Hayati JPM atutoke. Katika pitapita zangu mitandaoni yote ya nyumbani na kimataifa lakini pia pitapita za mitaani nlijifunza mambo makubwa manne . 1. Wazungu wameongeza kutudharau waafrika hasa watanzania ,Maana hata yule mtu aliyoonyesha muelekeo mzuri...
  3. JamiiForums Tanzania Wazungu bado ni mabeberu na wanyonyaji. Ndo maana Magu aliwachana live

    Hizi ndo akili za wazungu. Kwa nini tusiwaite mabeberu wao wanaamini Bado wanatutawala. Napenda hii movie ingechezwa kipindi cha uncle tungeona rangi zote. Ujinga huu huu ndo uliochelwesha bwawa la nyerere Kwa miaka nenda Rudi bila magu ingekuwa historia Hadi Leo. Tunahitaji watawala jasiri...
  4. JamiiForums Tanzania Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

    Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe? NB: kazi (Halali) kipimo cha utu Kuliwa KANDE si ujanja
  5. JamiiForums Tanzania Wazungu baada ya kufanya haya kwa akina Lumumba, leo wanatuhubiria haki za binadamu!

  6. JamiiForums Tanzania Mipango ya Wahaya kuishi kama wazungu 1950

    Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today. Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo? Utangulizi. Mji Bukoba au Bukoba ya Leo ya mwaka 2019,hayajapishana sana na mji wa Bukoba wa mwaka 1915 wakati wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania tujipange kupokea wazungu watakaokimbia baridi kali kwao

    Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
  10. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

    Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Kisiasa sisi ni wabaguzi kuliko Wazungu?

    Kwenye nchi za Ulaya na Marekani ni rahisi sana kuona Waafrika (Siyo wamarekani weusi) wasio na historia na nchi za Ulaya ama Marekani wanapata nafasi za kisiasa kwenye nchi hizo. Lakini mpaka Mzungu achaguliwe Afrika kuwa Kiongozi, huwa ni shida sana. Je, sisi waafrika linapokuja suala la...
  12. JamiiForums Tanzania Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la simba na kocha wa pirates, aliandika yake nikayapuuza lakini kuna trend nimejaribu leo kuuunganisha...
  13. JamiiForums Tanzania Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

    Kuna kitu nimekitafakari sana, kwanini sisi Afrika hatuna maendeleo? Nikaja kutambua kuwa, viongozi wetu wengi wa Afrika hawana ufahamu kuhusu uongozi wa ulimwengu, ndiyo maana tupo nyuma kwa kila kitu. Hivi fikiria ka inchi kama Qatar kanatuzidi uchumi sisi! Palipo na ukweli lazima pasemwe...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

    Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅 ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa Wabrazil wa Singida Big Starz si wa kitoto

    Hapa nawacheck naona ligi kuwa ngumu sana kule top 4. Wana nguvu speed, wepesi, control na namna ya ukokotaji wa mpira na zile press ni hatari.
  16. JamiiForums Tanzania Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

    Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni Koloni na walioenda vitani walikwenda kupigania na kutetea English Empire, sasa huo ushujaa...
  17. JamiiForums Tanzania Unafikiri Wazungu na jamii za Asia zinaichukuliaje ndoa?

    Kwema Wakuu! Kuna watu humu sijui ni ushamba, sijui ni ulimbukeni, sijui na kukosa elimu ya Dini, sijui ni kukosa elimu ya Kadi(jando na unyago) sijui ni kukosa elimu ya Sheria, basi tuu wanajifanya wanausasa lakini kimsingi ni kuwa wamechanganyikiwa na hawajui wamechanganyikiwa. Utasikia Kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
  19. JamiiForums Tanzania Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Wazungu wamechafukwa, lango la Kilimanjaro na Zanzibar hapa Bole ni kufuru

    Wakuu nipo Bole International Airport muda gate la Kilimanjaro & Zanzibar wazungu ni wengi kupitiliza. Watani wetu wa jadi Kenya wamenuna ndege kuelekea Nairobi wazungu hawazidi kumi. Naomba kuwasilisha kwa unyenyekevu mkubwa. Ngongo kwa sasa Addis Ababa Bole International Airport
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…