Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,337
51,858
KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA!

Anaandika, Robert Heriel

Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama Wanawake.

Ipo agenda ya kijinga iliyoanza miongo kadhaa ya kuwafanya wanaume wawe submissive Kwa Wanawake.
Msikubali!

Hata awe nani atakayekuambia umnyenyekee mwanamke au kujikomba komba kwake usikubali.

Simamia nafasi yako kama Mwanaume.

Mwanamke asikuendeshe, asicheze na akili yako Bali wewe ndio ucheze na akili yake.

Kama Mwanamke hakutaki achana naye. Usibembeleze ujinga. Jitu kama halikutaki au mpaka lisubiri ulibembeleze achana nalo.

Unamtumia ujumbe hajibu piga chini. Usiogope.

Umepiga simu hapokei au anakuletea maringo ya kitoto wakati jitu limeshazeeka piga chini. Labda awe under 20yrs lakini mtu kazeeka alafu akuzingua ukubali utakuwa hujielewi.

Wewe ndiye mwanaume, wewe ndiye Mtawala. Usipangiwe , Bali wewe ndiye unayepaswa kumpangia.

Busara yeyote utakayoitumia inayoangusha na kudhuru Uanaume wako huko ni kutokujiamini.

Zingatia kuwa Mwanaume hajawahi kukomolewa tangu dunia ianze. mwanaume hakomolewi!

Mwanamke yeyote atakayetaka ligi au kulipiza kisasi fukuza, usiwe na huruma na kamwe usimsamehe.

Mwanaume ni Kuhani katika nyumba yako. Neno lako ndilo neno la mwisho. Hakuna cha mchungaji wala Sheikhe anayetakiwa kulipindua.

Mwanamke wako Ajue kuwa wewe huogopi Wachungaji wala masheikhe kwani wewe unaijua dini zaidi Yao na unamisimamo yako binafsi isiyoingiliwa na yeyote.

Vijana usipokuwa mwanaume na ukaupuuza Uanaume wako basi sio tuu mapenzi yatakayokushinda Bali mpaka maisha yatakushinda.

Uanaume ni zawadi kubwa ambayo kila kiumbe kilitamani kiwe jinsia ya kiume.
Uanaume ndio uungu wenyewe, ndizo nguvu zenyewe na mamlaka.

Usijidharau, Usijikombe kombe kisa ujingaujinga. Fanya kazi Kwa jasho lako na akili yako yote.
Pata Mali kadiri uwezavyo, pata wanawake kadiri utakavyoona.

Usipangiwe idadi ya wanawake utakaokuwa nao. Watakaokataa waambie waondoke,
Zaa upendavyo, sio kosa.

Mfalme neno lake ndilo sheria, hivyo ndivyo unavyotakiwa uishi. Kile utakavyo ndicho ukifanye bila ya kuendeshwa na maneno ya Wanawake.

Hivyo ndivyo utakavyoishi miaka Mingi katika Enzi yako.

Vijana kamwe usijikombe, wala kujinyenyekeza kisa ujingaujinga. huko ni kujidhalilisha.

Ni Mimi Kaka yenu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapoka hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama Wanawake.

Ipo agenda ya kijinga iliyoanza miongo kadhaa ya kuwafanya wanaume wawe submissive Kwa Wanawake.
Msikubali!

Hata awe nani atakayekuambia umnyenyekee mwanamke au kujikomba komba kwake usikubali.

Simamia nafasi yako kama Mwanaume.

Mwanamke asikuendeshe, asicheze na akili yako Bali wewe ndio ucheze na akili yake.

Kama Mwanamke hakutaki achana naye. Usibembeleze ujinga.
Jitu kama halikutaki au mpaka lisubiri ulibembeleze achana nalo.

Unamtumia ujumbe hajibu piga chini. Usiogope.
Umepiga simu hapokei au anakuletea maringo ya kitoto wakati jitu limeshazeeka piga chini. Labda awe under 20yrs lakini mtu kazeeka alafu akuzingua ukubali utakuwa hujielewi.

Wewe ndiye mwanaume, wewe ndiye Mtawala. Usipangiwe , Bali wewe ndiye unayepaswa kumpangia.

Busara yeyote utakayoitumia inayoangusha na kudhuru Uanaume wako huko ni kutokujiamini.

Zingatia kuwa Mwanaume hajawahi kukomolewa tangu dunia ianze. mwanaume hakomolewi!

Mwanamke yeyote atakayetaka ligi au kulipiza kisasi fukuza, usiwe na huruma na kamwe usimsamehe.

Mwanaume ni Kuhani katika nyumba yako. Neno lako ndilo neno la mwisho. Hakuna cha mchungaji wala Sheikhe anayetakiwa kulipindua.

Mwanamke wako Ajue kuwa wewe huogopi Wachungaji wala masheikhe kwani wewe unaijua dini zaidi Yao na unamisimamo yako binafsi isiyoingiliwa na yeyote.

Vijana usipokuwa mwanaume na ukaupuuza Uanaume wako basi sio tuu mapenzi yatakayokushinda Bali mpaka maisha yatakushinda.

Uanaume ni zawadi kubwa ambayo kila kiumbe kilitamani kiwe jinsia ya kiume.
Uanaume ndio uungu wenyewe, ndizo nguvu zenyewe na mamlaka.

Usijidharau,
Usijikombe kombe kisa ujingaujinga.
Fanya kazi Kwa jasho lako na akili yako yote.
Pata Mali kadiri uwezavyo, pata wanawake kadiri utakavyoona.

Usipangiwe idadi ya wanawake utakaokuwa nao.
Watakaokataa waambie waondoke,
Zaa upendavyo, sio kosa.

Mfalme neno lake ndilo sheria, hivyo ndivyo unavyotakiwa uishi. Kile utakavyo ndicho ukifanye bila ya kuendeshwa na maneno ya Wanawake.
Hivyo ndivyo utakavyoishi miaka Mingi katika Enzi yako.

Vijana kamwe usijikombe, wala kujinyenyekeza kisa ujingaujinga. huko ni kujidhalilisha.

Ni Mimi Kaka yenu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Nimekuelewa mkuu. Lakini naona mada hii ungepanua wigo kidogo, ulipoongelea kujikomba. Tusijikombe kwa wanawake tu, bali hata kwa wanaume wenzetu, hata tukihitaji msaada toka kwao. Wapo baadhi ya wanaume wakibaini mwenzao anahitaji msaada, basi ana-take advantage, anataka anyenyekewe. Tusiwe hivyo wanaume. Wanaume tunatembea sehemu nyingi katika utafutaji wa maisha, unamnyanyasa mwenzako leo hujui kesho utamkuta wapi (rejea issue ya Paskali).
 
KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA!

Anaandika, Robert Heriel

Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama Wanawake.

Ipo agenda ya kijinga iliyoanza miongo kadhaa ya kuwafanya wanaume wawe submissive Kwa Wanawake.
Msikubali!

Hata awe nani atakayekuambia umnyenyekee mwanamke au kujikomba komba kwake usikubali.

Simamia nafasi yako kama Mwanaume.

Mwanamke asikuendeshe, asicheze na akili yako Bali wewe ndio ucheze na akili yake.

Kama Mwanamke hakutaki achana naye. Usibembeleze ujinga. Jitu kama halikutaki au mpaka lisubiri ulibembeleze achana nalo.

Unamtumia ujumbe hajibu piga chini. Usiogope.

Umepiga simu hapokei au anakuletea maringo ya kitoto wakati jitu limeshazeeka piga chini. Labda awe under 20yrs lakini mtu kazeeka alafu akuzingua ukubali utakuwa hujielewi.

Wewe ndiye mwanaume, wewe ndiye Mtawala. Usipangiwe , Bali wewe ndiye unayepaswa kumpangia.

Busara yeyote utakayoitumia inayoangusha na kudhuru Uanaume wako huko ni kutokujiamini.

Zingatia kuwa Mwanaume hajawahi kukomolewa tangu dunia ianze. mwanaume hakomolewi!

Mwanamke yeyote atakayetaka ligi au kulipiza kisasi fukuza, usiwe na huruma na kamwe usimsamehe.

Mwanaume ni Kuhani katika nyumba yako. Neno lako ndilo neno la mwisho. Hakuna cha mchungaji wala Sheikhe anayetakiwa kulipindua.

Mwanamke wako Ajue kuwa wewe huogopi Wachungaji wala masheikhe kwani wewe unaijua dini zaidi Yao na unamisimamo yako binafsi isiyoingiliwa na yeyote.

Vijana usipokuwa mwanaume na ukaupuuza Uanaume wako basi sio tuu mapenzi yatakayokushinda Bali mpaka maisha yatakushinda.

Uanaume ni zawadi kubwa ambayo kila kiumbe kilitamani kiwe jinsia ya kiume.
Uanaume ndio uungu wenyewe, ndizo nguvu zenyewe na mamlaka.

Usijidharau, Usijikombe kombe kisa ujingaujinga. Fanya kazi Kwa jasho lako na akili yako yote.
Pata Mali kadiri uwezavyo, pata wanawake kadiri utakavyoona.

Usipangiwe idadi ya wanawake utakaokuwa nao. Watakaokataa waambie waondoke,
Zaa upendavyo, sio kosa.

Mfalme neno lake ndilo sheria, hivyo ndivyo unavyotakiwa uishi. Kile utakavyo ndicho ukifanye bila ya kuendeshwa na maneno ya Wanawake.

Hivyo ndivyo utakavyoishi miaka Mingi katika Enzi yako.

Vijana kamwe usijikombe, wala kujinyenyekeza kisa ujingaujinga. huko ni kujidhalilisha.

Ni Mimi Kaka yenu.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
kamanda unakaza kweli au unatuswich
 
Unakuta kijana mwanamume kuanzia miaka 18 - 24 analilia mapenzi huu ndio mta wakutengeneza future yako mapenzi yapo ishi kwa akili mzee!

Uzi nimeupenda.
 
Nimekuelewa mkuu. Lakini naona mada hii ungepanua wigo kidogo, ulipoongelea kujikomba. Tusijikombe kwa wanawake tu, bali hata kwa wanaume wenzetu, hata tukihitaji msaada toka kwao. Wapo baadhi ya wanaume wakibaini mwenzao anahitaji msaada, basi ana-take advantage, anataka anyenyekewe. Tusiwe hivyo wanaume. Wanaume tunatembea sehemu nyingi katika utafutaji wa maisha, unamnyanyasa mwenzako leo hujui kesho utamkuta wapi (rejea issue ya Paskali).
Ukipata shida nenda kwa wanaume wanaojielewa usiende kwa wajinga.
 
Unakuta kijana was kiume anaendeshwa na mwanamke Hadi anaongea mwenyewe barabarani...

Pumbavu kabisaaa...

Wazazi jifunzeni kulea watoto wa kiume malezi ya kiume mpe some hard time ili akili ipanuke asipende kitonga..

Kama uko vzur kiuchumi na unaish mjini jitaid wakat wa likizo mpeleke kwa bibi zake kijijin aende shambani na kuchunga mifugo,
Mpangie majukumu ya kiume,mfanye awe na self discipline...

Malezi ya ovyo huleta vijana wa ovyo baadae...
 
Hivi ule utaratibu wa mwanaume kupiga magoti wakati anamvalisha pete mwanamke asili yake ni wapi? Na ulianzaje?
 
Back
Top Bottom