waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Stuxnet

    Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
  2. Chachu Ombara

    Majungu na kukwamishana Buboka Mjini vyamliza Mbunge Byabato. Apiga magoti na kutoa machozi mbele ya wanabukoba

    Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo amelalamikia majungu yanayoendelea Bukoba Mjini ambayo yanakwamisha maendeleo ya manispaa hiyo kwa...
  3. GENTAMYCINE

    Je, 'Boko' hili la 'Kujiaibisha' Mchengerwa alilitoa kama Mkwe au Waziri au Mkwe Waziri?

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema hajashangaa kuona Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kati Singida Dkt. Cyprian Hilinti kumuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aridhie kuwa Mama wa Taifa la Tanzania ambapo Mchengerwa amesema Rais Samia ameingia kwenye fikra na maono ya Baba wa...
  4. M

    Which one is corect between waziri wa pesa au waziri wa fedha?

    Je mwigulu nchemba alipaswa kuwa wziri wa pesa au waziri wa fedha? Au utafauti wake ni Nini na kwa nini asiitwe waziri wa pesa.
  5. R

    Ni Waziri gani wa fedha anaeongoza kwa kukopa Mashirika ya Kimataifa tangu tupate uhuru?

    Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru. Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana. Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro Aielekeza Bodi ya Filamu Kushirikiana na Sekta Binafsi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameilekeza Bodi ya Filamu nchini ishirikiane na Sekta binafsi katika kuhakikisha filamu za Tanzania zinakua bora zaidi na zinapata soko la uhakika. Dkt. Ndumbaro ametoa agizo hilo Oktoba 12, 2023 alipofanya ziara katika Bodi hiyo...
  7. DodomaTZ

    Serikali imeruhusu Uhamisho wa Watumishi lakini kuna Hamashauri zinakwamisha, Waziri anayehusika aingilie kati

    Kuna baadhi ya Halmashauri zinakwamisha juhudi za Serikali kwa makusudi ili ionekane Serikali haifanyi kazi. Povu langu ni kuhusu mfumo wa uhamisho Serikalini, kubadilishana kwa Watumishi kumeruhusiwa tangu Septemba lakini mpaka leo Halmashauri haijatoa tamko na waliojisajili mamekosa approval...
  8. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya: Umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board)

    Mheshimiwa Waziri, Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
  9. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza Awafunda Maafisa Ardhi Mvomero

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka Maafisa Ardhi nchini kutoa elimu ya matumizi bora na sahihi ya ardhi ili kuepusha migogoro ya wakulima na wafugaji nchini. Mhe. Khamis Hamza Khamis Ametoa agizo hilo wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
  10. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  11. E

    Waziri wa Afya atuombe radhi Wakulima na Wafanyabiashara ya matunda

    Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
  12. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aipongeza COSOTA na kuipa maagizo

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AIPONGEZA COSOTA NA KUTOA MAAGIZO Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameiagiza Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) iandae taarifa kuhusu mgogoro wa Hakimiliki kwa kazi ya ubunifu wa michoro ya Tingatinga pamoja na kufuatilia Mtunzi na Mmiliki...
  13. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza kumbi zote za starehe kusajiliwa kabla ya Novemba 30

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA KUMBI ZOTE ZA STAREHE ZISAJILIWE KABLA YA NOVEMBA 30 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaagiza Maafisa Utamaduni kote nchini kuhakikisha kuwa wanasajili Kumbi zote za starehe na kuhakikisha kumbi hizo zinakidhi vigezo vyote kwa mujibu...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara.

    Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama Awapa Kongole Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu

    WAZIRI MHAGAMA AWAPA KONGOLE BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE NA URATIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama afurahishwa na ushiriki wa ofisi yake katika uzinduzi wa Wiki ya Vijana pamoja na maadhimisho ya kuelekea...
  17. MK254

    Israel yafaulu kumuua waziri wa uchumi wa HAMAS

    Huyu kazi yake ilikua kupanga mipango yote ya matumizi ya fedha, yaani zipi zitumike kwenye ugaidi upi na wapi. Poleni kwa msiba wenzetu wa huku uswahilini mnaowaita wale ndugu. Israel bado haijaanza kulipiza kisasi. ========= PHOTO: GETTY IMAGES Rear Admiral Daniel Hagari, spokesman for...
  18. Roving Journalist

    Waziri Pindi Chana: Tunafanyia kazi ushauri wa Wadau kuhusu mabadiliko ya Adhabu ya Kifo

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi maoni ya baadhi ya Wadau kuhusu kuondoa adhabu ya kifo. Akizungumza Oktoba 10, 2023 kwenye Kongamano la kujali adhabu ya kifo lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na wadau...
  19. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
  20. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Ukarabati Uwanja wa Mkapa Wafikia 95%

    Ukarabati wa Awamu ya Kwanza unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umefikia asilimia 95 na asilimia tano zilizobaki zinatarajiwa kukamilika ndani ya siku tano kuanzia leo. Akikagua ukarabati huo leo Oktoba 9, 2023, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas...
Back
Top Bottom