waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza Awapongeza Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

    NAIBU WAZIRI KHAMIS WAKATI AWAPONGEZA AHMADIYYA Taasisi za dini na viongozi wake wametakiwa kuchukua hatua stahiki katika kurekebisha mmomonyoko wa maadili unaotokana na utandawazi na matumizi yasiyofaa ya teknolojia. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na...
  2. Roving Journalist

    Waziri Ulega ashiriki Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya, asema mafunzo ya Dini yatumike kuondoa mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Kilimo na Mifugo, Abdallah Hamis Ulega ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt.Doto Biteko kwenye Mkutano wa 52 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya uliofanyika Kitonga, Msongola, Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam. Amesema Mkutano huo...
  3. Mwizukulu mgikuru

    Waziri Mchengerwa kazia hapo hapo, TAMISEMi ni shamba la bibi

    Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...
  4. S

    Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
  5. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile Apongeza na Kusifu Kasi ya Maendeleo Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho. Mhe...
  6. Roving Journalist

    Naibu Waziri Sagini azindua mfumo wa Kidigitali wa URA Mobile Money

    Jeshi la Polisi nchini limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao (URA MOBILE MONEY) utakaotumika na Viongozi pia Wanachama wa URA SACCOS katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Jijini Dar es Salaam Leo Septemba 30, 2023. Akizungumza katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Mfumo huo Mgeni...
  7. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Biteko Awasha Umeme

    MHE. DKT. BITEKO AWASHA UMEME KIJIJI CHA NTANGA NA KASHARAZI - NGARA ✔️ AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA WA KUWASHA UMEME VIJIJINI Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara yake ya kikazi katika mikoa mbalimbali nchini ambayo imejumuisha kuwasha umeme katika baadhi...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Haikuwa Kazi Rahisi Kushinda Kuandaa AFCON 2027

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema haikuwa kazi rahisi kwa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kushinda zabuni ya kuandaa Fainali za Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027). Dkt. Ndumbaro amesema hayo Septemba 29, 2023 jijini Dar es Salaam...
  9. Roving Journalist

    Naibu Waziri Hamad Chande akumbushia usimamizi wa fedha zinazotolewa kwa ajili ya kusimamia Maadiliko ya Tabianchi

    Wataalamu wa mazingira kutoka Nchi 10 za Afrika na wenzao kutoka mataifa ya Ulaya wamekutana Jijini Arusha kujadili namna bora ya uwajibikaji kwenye matumizi ya fedha zinazotolewa na Wahisani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya utunzaji mazingira ikiwemo mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huo...
Back
Top Bottom