waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wanachuo wa Chuo cha Ualimu Northern Moshi wametapeliwa. Wasaidie

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, tunaamini unaendelea vizuri na mikutano ya uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi kwa chama cha mapinduzi (CCM)hapa mkoani Kilimanjaro na leo upo wilaya ya Rombo kumnadi Profesa Mkenda ambaye tunaamini atapata ushindi wa kishindo. Mheshimiwa Waziri Mkuu,wakati unaendelea na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Enzi za mwalimu Nyerere, Waziri wa Utalii, Dr. Kigwangalla angeeleza alikopeleka pikipiki 25

    Najikumbusha tu namna viongozi wa umma walivyoishi kwa maadili yasiyotia shaka enzi za awamu ya kwanza ya JK Nyerere. Waziri kununua pikipiki 25 kwa fedha taslimu wakati wa kuelekea uchaguzi lazima angeitwa na tume ya maadili pale jirani na Avalon cinema kujieleza. Yote kwa yote namuunga mkono...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Funzo Uganda: Waziri aua mpinzani aliyemzidi kete

    Siasa si ugomvi, na wale wanaochukulia personally siasa kuwa uadui, tuna hili tukio la kusikitisha toka Uganda. Waziri Mwesigwa Rukutana amashindwa katika kura za awali jimboni kwake na mpinzani wake. Waziri huyo alipokutana na mpinzani huyo uso kwa uso, akiwa na walinzi wake watatu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo. Hii ni neema kwa mliosomea ualimu. Maendeleo hayana vyama!
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 Dkt. Magufuli alisema alishatembelea Nchi nyingi Duniani akiwa Waziri. Septemba 2020 anadai eti hajawahi kwenda Ulaya tangu akiwa shuleni!

    Kwa kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako. Wamechanganyikiwa kabisa hadi sasa wamebobea katika ulaghai. Mweeee! Embu msikie mwenyewe kiongozi wa MATAGA.
  6. JamiiForums Tanzania Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

    Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency) Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe Uongozi wa Twitter...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba anashangaa Waziri kufua nguo Ulaya hajui kuwa mabeki tatu walikuwa wanatumwa buchani SA kununua kitoweo

    Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki. Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

    Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.
  9. JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi na Uenezi, Ndugu Humphrey Polepole anafaa kuwa Waziri wa Wizara yoyote ikiwa CCM itashinda

    Kusema kweli ukimtazama Humphrey Polepole utagundua ana hotuba nzuri na ni msikivu. Nilipata kumuona katika ziara aliyofanya Kigoma kwakweli aliwakosha sana Watanzania kwa kutatua kero zao hasa maji. Kwa mbali alikuwa na mwendo wa kishujaa huku akiwa amevaa gambuti. Kwa maoni yangu ndugu huyu...
  10. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

    Habari! Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo. Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye! ==== SASISHO: Katibu Mkuu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "amekosea" kwamba Tanzania inaongoza Afrika kusambaza umeme kiwango cha 80% kwa sababu sio kweli

    Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anapohubiri amani wakati Jimboni kwake Wagombea wa Upinzani wakifanyiwa vitendo vya kinyama

    Leo nimemsikiliza waziri mkuu ndugu Majaliwa akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kuisifu serikali. Waziri Mkuu ameutangazia umma wa Watanzania kuwa serikali italinda Amani wakati wote hata kipindi cha uchaguzi mkuu, na akataka siasa za kistaarabu. Wakati akiyasema hayo, viongozi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein

    2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein. Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iraq katika utawala wa Saddam Hussein na mtu wa upande wake wa kulia (right-hand...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ashangaa kukuta wanafunzi wanakaa chini Mkuranga, atoa wiki mbili madawati yapatikane!

    Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini. Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae. Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT Wazalendo: Mgombea Ubunge wetu jimbo la Ruangwa avamiwa na kutekwa akiwa nyumbani kwake. Apatikana akiwa ametupwa porini Mkuranga

    UTEKAJI UMERUDI NCHINI TAARIFA KWA UMMA TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika. Ng’ombo ambaye alishika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Lissu, Waziri wa Ujenzi atembelea barabara ya Rusahunga - Rusumo

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Wakati akisubiriwa yule mheshimiwa mfufuka kujili pande za huko Rusumo, msafara wa magari likiwamo lenye plate number: W UJ umeonekana katika barabara hii uelekeo Rusumo. Gari W UJ likipepea bendera yetu tukuka vilivyo likiaashiria...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

    Wana Lindi wenzangu habari Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu , Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo Mikoa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

    Waziri wa habari Mhe. Mwakyembe amesema hakuna Media yoyote ya kimataifa iliyoxuiwa kufanya kazi nchini. Kadhalika hakuna kanuni yoyote inayomtaka mtangazaji wa media hizo kuandamana na askari kila anapoenda kufanya mahojiano na wanasiasa. Waziri Mwakyembe amesema hayo katika mahojiano na...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo. “Katibu...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

    Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao. Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…