waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matumaini kibao tozo mpya za simu, wanawake waziunga mkono, wamtaka waziri asonge mbele bila kutetereshwa

    Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini. Walisema tozo hizo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

    Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba. Kwa kifupi sana: Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wa Uingereza augua Covid-19 baada ya kupata chanjo

    Waziri wa afya wa uingereza amepata ugonjwa wa covid 19. Waziri huyo tayari amepata chanjo yote ya covid 19 kma inavyotakiwa lakini bado ameugua covid 19. Ni cases nyingi kama sio zote ambazo watu waliochanjwa bado wanaugua ugonjwa wa Covid 19. Swali la kujiuliza, inakuaje mtu amepata chanjo...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

    Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla. Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja. Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso hivi unafahamu kwamba ni mwezi mzima sasa DAWASA hawajaunganisha maji kwa Wateja wapya?

    Habarini za Majukumu wadau, Kama kichwa cha habari kisemavyo, mamlaka ya maji Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani (DAWASA) wameshindwa kuwaunganishia wateja wapya huduma ya maji kwa sababu wanadai vifaa hamna. Specifically, binafsi nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji katka ofisi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

    Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!
  9. JamiiForums Tanzania TRA Kufungwa akaunti za Wafanyabishara VS Waziri Kutoza wananchi kodi ya uzalendo ni bora lipi?

    Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania. Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  11. JamiiForums Tanzania Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

    Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma. Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto. Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

    Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
  13. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu na mustakabali wetu wa siku zijazo.Waziri wetu huyu watoto wake hawasomi katika shule za umma,wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Morocco

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 13, 2021 kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Africa wa Morocco Nasser Bourita na Waziri Mkuu wa Morocco Saad Dine El Otmani. Katika Mzungumzo hayo Waziri Mkuu alizungumzia kuimarisha ushirikiano mzuri...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako hana kosa lolote anahukumiwa kimakosa

    Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof...
  17. JamiiForums Tanzania RC Mtaka aomba radhi baada ya kuwaambia wananchi wampuuze Waziri Ndalichako

    Ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Nimesoma na kupokea maoni,ushauri na kila aina ya hisia ambazo naamini ni kwa upendo juu ya Clip yangu kuhusu kambi za Kitaaluma nilipokuwa nikizungumza na wananchi wetu katika tafsiri yoyote ile naomba Radhi kwa wote waliokwazika ,wananchi na...
  18. JamiiForums Tanzania RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake. Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Kuna wagonjwa 26 wa COVID-19 mkoani Dodoma

    Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri abaini upigaji milioni 520 za NHIF mkoani Kilimanjaro

    UKAGUZI maalum unaoendelea kufanyika katika miamala ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umebaini kuwepo kwa ubadhirifu wa zaidi ya milion 520 mkoani Kilimanjaro. Ubadhirifu huo unaohusisha watumishi sita wakiwamo kutoka na hospitali za rufaa ya Kanda KCMC na Hospitali ya Rufaa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…