Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 465
Kwa ushujaa wa hali ya juu Mh.Kassim Majaliwa ameturudisha katika Imani yetu juu ya serikali yetu.Imani ambayo ilikuwa ishaanza kupotea baada ya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu kuanza kubadilika kifikra na matamshi kipindi kifupi tu baada ya kuondoka mpendwa wetu.
Wengi wetu tulianza kuamini mazuri aliyoyafanya mpendwa wetu yanaenda kufutwa,wengi tuliamini tunarudishwa enzi zile za ukanjanja .
Katikati ya wanafiki ameibuka kiongozi shujaa ambaye ametuahakikishia kuwa kura zetu mwezi October hazijapotea ,kiongozi ambaye ametuahakikishia kuwa uongozi wa awamu ya sita utaendeleza mema yote ya awamu iliyopita, kiongozi ambaye ameamua kupambana na wapinga maendeleo ambao kwa makusudi wameamua kumchafua mpendwa wetu.
Tuna kila sababu ya kushukuru Mungu amesikia kilio chetu .
Watanzania tunampenda Magufuli na kumchafua mpendwa wetu Wala hakusaidii kitu bali kunafanya watu wazidi kumpenda na kunafanya watu waichukie serikali yao.
Nashkuru chama Cha mapinduzi na uongozi wake wameona madhara makubwa ambayo yangetokea kwa kukaa kimya na kuridhia mpendwa wetu atukanwe.
Nashukuru Serikali kupitia Waziri Mmkuu wameona Umuhimu wa kumtetea na kumsemea mpendwa wetu ambaye alijitolea kwaajili yetu.
Sisi watanzania tunaimani na Wewe Waziri mkuu tunataka miradi iendelezwe,tunataka rushwa idhibitiwe Kama mwanzo,tunataka madawa ya kulevya yadhibitiwe Kama mwanzo,tunataka wanyonge wathaminiwe Kama mwanzo.
Amani na salama Mungu atudumishie katika nchi yetu.