waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi Waziri Mkuu kumkemea Mkaguzi wa Ndani MSD

    Yawezekana mimi ambaye sijawahi kupitia chuo cha uongozi "Uongozi Institute" sijui namna bora ya kuongoza lakini kwa busara tu za kawaida siyo sahihi kabisa kwa waziri mkuu kumkaripia mkaguzi wa ndani wa MSD. Ilitakiwa waziri mkuu kuonyesha ukali kwa waziri wa afya, na kuhoji haya yanatendeka...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sri Lanka awasilisha barua ya kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu uhuru. - Kwa majuma kadhaa sasa nchi hiyo imekumbwa na vurugu kutokana na maandamano mbali mbali ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais, ikikupendeza irudishe TAMISEMI ofisi ya Waziri Mkuu; Waziri Mkuu Majaliwa atakusaidia zaidi ya ulivyo muundo wa sasa

    Mhe. Edward Lowasa alipokuwa Waziri Mkuu alikuwa msimamizi wa TAMISEMI na alitumia vyema nafasi hiyo kujijenga kisiasa na kuwa na network Kila Kona. Mzee Pinda na Mawaziri wengine wakuu waliowahi kuhudumu nchini awakufanya kama Mzee Lowasa. Lowassa alifanya vile Kwa sababu alikuwa amejipanga...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, unadhani kwa ulichobaini Mwanza, viongozi wa mkoa wanakusaidia wewe na Rais? Kama umebaini awawasaidii wanafanya nini ofisini?

    Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna viongozi wamekaa ofisini bila kutimiza wajibu wao. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza baadhi ya viongozi...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati sio mbunifu kutuondoa kwenye matatizo yanayosababishwa na umeme. Hajui nchini kuna Uraniun?

    Watanzania hatujawahi kusikia huyu Waziri Makamba akija na mkakati wowote ule wa kulikwamua taifa letu na tatizo la gharama kubwa za nishati ya umeme. Mradi wa JNHP ulikuwa ni moja ya njia ya kupunguza gharama za nishati ya umeme. Maana mradi huu ungekamilika kwa wakati June 2022 ungewezesha...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani alipendekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha na Makamba Jr awe Waziri wa Nishati?

    Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili? Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
  8. Roy Logan

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Sisi hatuzalishi mafuta

    Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara yenyewe hapa nchini. Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 5, 2022, bungeni Dodoma, wakati kujadili hoja...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  10. JF Member

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

    Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani. Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi? Nini kifanyike?
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Waziri wa Mambo ya Nje akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo. Msemaji wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bango la Anwani za Makazi likiwa limekosewa

    Sekou Toure Road 👇
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TCRA inachunguza mabadiliko ya mabando ya simu yaliyofanyika kimyakimya

    Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia. TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Alitudanganya Local Channels Kuonekana Kwenye King'amuzi Cha DStV?

    Wakuu kuuliza Sio Ujinga . Niliwahi sikia kupitia Kwa Waziri Mmoja akijinasibu Kwamba local Channel Zote za Tz zimerudishwa kwenye Decoder ya DStv. . Na Hata Kama Kifurushi chako kikiisha zile local channels zinaendelea kuonekana. . Lakini Cha ajabu kifurushi chako Cha DStv kikiisha na kama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi, wajadili Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Waziri wa Ulinzi na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa

    Waziri Nape, kuna dosari kwenye zoezi la anuani za Mitaa. Ipo mitaa inandikwa kwa jina la Kiswahili na mingine inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Unakute vibao viwili vinavyotumia mlingoti mmoja, kimoja kimeandika Mtaa wa MTAA WA MARKET, na kibao kingine kwenye mlingoti huo huo kimeandikwa...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa DSTV kuziweka ITV, EATV, Clouds TV na Channel Ten kwenye chaneli za kulipia?

    Huenda mimi ndio sielewi basi nielimishwe, lakini kwa upeo wangu mdogo ninavyojua mimi hizo channel ITV, eatv, clouds na channel ten ni FTA channels sasa inakuwaje kifurushi cha Dstv kikiishia wanakuachia Tbc peke yake? Mimi nina king'amuzi pia cha Star times hawa air time ikikuishia free...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii, una kazi kubwa sana

    Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia zilizopo hizi za wildlife, beach na mountain climbing/view. #Royal tour imekusogeza kwenye kutumbuliwa...
  19. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli tuna Waziri wa Ujenzi? Maana hoi barabara ya Mbagala Mwendokasi ni hatarishi

    Nashangaa kuona UJENZI WA hovio WA BARABARA mwendo Kasi kwenda Mbagala iko hovio. Injinia WA mkoa, wilaya as if wao wanaishi mbinguni, hawaoni hawaioni hiyo adha ya hiyo BARABARA. Tunaomba wafike saiti waangalie.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Msaidieni Rais Samia Utekelezaji Anwani za Makazi

    Naibu Waziri: Msaidieni Rais Samia Utekelezaji Anwani za Makazi Immaculate Makilika – MAELEZO, Songwe Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi, Kundo Mathew amewaomba Wakuu wa Mikoa yote nchini kuendelea kutekeleza zoezi la Anwani za Makazi katika mikoa...
Back
Top Bottom