waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde anafaa kuwa Waziri wa Wizara ngumu na nyeti nchini

    Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu. Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu afafanue hizi pesa zimefanya nini?

    Bajeti ya mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge ukiondoa masuala ya kulipa deni la taifa na matumizi ya serikali ikiwemo kulipa mishahara ya Watumishi, kiasi cha Shilingi Trillion 4 zilitengwa kwaajili ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa na vituo vya afya. Baadaye tukapata...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu: Elimu ya juu inaporomoka, viwango vya Uprofesa vimeshuka

    WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema elimu ya juu inaporomoka huku akishangaa kushuka kwa viwango vya kupata uprofesa. Hali hiyo imemfanya ayatake Mabaraza ya Vyuo Vikuu Tanzania kuwepo na ubora kwa kutoshusha vigezo ili kupata watu wengi. Alitoa kauli hiyo jana...
  4. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wasaidie Wafanyakazi wa Mloganzila wapate pesa zao za madai ya UVIKO-19

    Mheshimiwa Waziri wa Afya, nikiwa kama "collateral" ambaye nina ndugu yangu anayefanya kazi pale Mloganzila Hospitali, naomba nikufikishie taarifa kwamba wafanyakazi wa pale hawajalipwa posho za UVIKO-19 (Risk Allowances) hata za wimbi 1 japokuwa hizo pesa mlishazilipa kulingana na tangazo...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Shahbaz Sharif, Waziri Mkuu mpya Pakistan

    Bunge la Pakistan limemchagua Shahbaz Sharif kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, baada ya Imran Khan kuondolewa madarakani kwa kura ya kutokuwa na imani naye mapema siku ya Jumapili Aprili 10, 2022. Kiongozi wa muungano wa upinzani ambaye alikuwa amefanya kazi ya kumwondoa Khan alipata uungwaji...
  6. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kivuli, Dorothy Semu aja na mbadala wa hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu

    MAELEZO YA NDUGU DOROTHY MANKA SEMU, WAZIRI MKUU KIVULI ACT WAZALENDO KUFUATIA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO YA KAZI NA MWELEKEO WA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA WA 2022/2023 Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka kuwa Bunge linaendelea kujadili mwelekeo...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

    Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi. Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati afanye zaidi ya kusambaza umeme kwa wanavijiji

    Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia hasara za kuwa na umeme kama vile kupigwa shoti, kunaswa na umeme, kuunguza nguo kwa pasi na nyumba...
  10. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

    Something is not right, s'thing is quite wrong mazee.. Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape chunguza hili tatizo la kupungua kwa spidi ya internet ya Mitandao ya Voda na Airtel

    Kwako waziri Nape Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana. Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

  13. J

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka Ngara kwa Waziri wa Nishati

    Ndugu waziri nakuletea salaam zangu kutoka nakatunga wilaya ya Ngara, ambazo kwa hakika zimebeba mtazamo wa wilaya yote. Ndugu waziri, wanaomkumbuka Kalemani hadharani na moyoni sio kwamba wachuki na wewe, bali wanaangalia utendaji wako ukilinganisha na kalemani. Hapa Rusumo kuna mradi wa...
  14. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Wizara ya Maji wizi umekithiri

    Tutaendelea kusema hata kama hakuna hatua lakini wizara ya maji ni wezi na viongozi wa wizara ndo vinara wa wizi. Waziri Aweso na katibu mkuu wake ni wezi wa pesa za wizara kwa kushirikiana na watendaji walioko ktk ofisi za mabonde. Kuna pesa nyingi zinapelekwa ktk ofisi za mabonde na kurudishwa...
  15. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

    Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi. Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
  18. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Tanzania kuna upunguzu wa Vituo vya Polisi 470

    Taarifa ya upungufu wa vituo vya polisi Nchini Tanzania imewaibua wadau wa haki za binadamu, wakidai kuwa chanzo ni kukosekana kwa haki. Jana Aprili 5, 2022, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni aliwasilisha bungeni taarifa ya upungufu wa vituo vya Polisi vya daraja B...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
Back
Top Bottom