waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Uganda aanguka hadharani. Afrika ni ya waafrika wenyewe na laana zao.

    Over 85 yrs bado linang'ang'ana na madaraka!
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awahutubia wananchi wa Iran!!

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa ujumbe kwa watu wa Iran wakati Wafuga Midevu na Majini wanadai amekufa!! "Niko hapa na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Mkuu wetu wa Majeshi, mkuu wa Mossad, Mkuu wa Jeshi la Anga, makamanda wetu wakuu. Katika saa 24 zilizopita, tuliwaangamiza wakuu...
  3. Eronda

    JamiiForums Tanzania FALSE Video showing an old man being dragged by security shows Gen. Moses Ali

    The video shows an old man who is being dragged by security forces in Kololo independence ground. Many people are mistaking the old man to be Gen. Moses Ali current Member of Parliament Adjumani West Constituency . However, that does not seem to be Gen Moses Ali but another old man who wanted...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Mkuu anapofanya ziara, awakumbuke watumishi wa Halmashauri

    Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
  5. mager6

    JamiiForums Tanzania Kwanini Netanyahu waziri mkuu wa Israel wanamuita bibi?

    Msaada kwa wajuzi wa mambo. Huyu jamaa najua anaitwa Ben, na namuona kwenye media ni kidume ipi siri ya yeye kuitwa bibi?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa amali ya kihandisi, Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI MGOMBE YENYE MKONDO WA AMALI YA KIHANDISI, KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 15, 2026 ameweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa

    Wizara ya Kilimo na Wizara ya Viwanda na Biashara zaanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuhusu marufuku ya Lumbesa 📍Nsimbo-Katavi 🗓️Machi 15, 2026
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza uchunguzi wa mfumo wa upatikanaji wa dawa hospitalini

    WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI WA MFUMO WA UPATIKANAJI WA DAWA HOSPITALINI ▪️Akemea watumishi wanaowaelekeza wananchi kununua dawa nje ya hospitali ▪️Aonya utapeli wa ardhi za vijiji ▪️Akemea wakandarasi wanaolipwa fedha za miradi lakini hawawalipi mafundi WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza kiongozi wa CCM aliyetajwa kwenye mgogoro wa ardhi akikutwa na hatia avuliwe madaraka, siyo chama cha kunyang'anya

    Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi. Amesema chama hicho siyo cha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba huko Nsimbo, Katavi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amefanya ziara mkoani Katavi kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa mkoani humo ikiwemo ujenzi wa shule na hospitali na kuelezea mafanikio yaliyofanyika katika kipindi cha uongozi wa awamu ya sita. Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza amani, maadili na ushirikiano na taasisi za dini

    WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa barabara ya Kagwira – Karema

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA KAGWIRA – KAREMA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya Kagwira – Karema (kilometa 112) katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Mradi huo unatekelezwa na Wakala wa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Hakutakuwepo na mchezo wala mzaha kwa anayecheza na fedha za umma

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu unaleta faraja na matumaini kwa watanzania

    Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania. Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

    Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ziara zako mikoani hazitatui matatizo ya wananchi. Watumie viongozi mikoani

    Huu ni upuuzi mwingine wa serikali ya awamu hii ya Raisi Samia eti Waziri Mkuu anazunguka mikoani kutatua matatizo ya wananchi. Waziri Mkuu anatakiwa kutatua matataizo katika ngazi ya kitaifa. Lakini ajabu ni kwamba Waziri Mkuu Mwigulu ameenda kutatua matatizo ya wananachi katika "individual...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa kuona Waziri Mkuu anazurura mtaani ati anatatua changamoto

    Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi? Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili atatue...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Baraza lote la Mawaziri

    Rais wa Madagascar, Michael Randrianirina, ambaye alichukua madaraka kufuatia maandamano ya Oktoba 2025, amemfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri siku ya Jumatatu Machi 9, 2026, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wake. Aidha taarifa hiyo iliyotolewa na Harry...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Mawaziri wekeni kwenye sheria watu anapolipwa mkandarasi, pesa zisizo zake ziende moja kwa moja kwa wale wanaofanya kazi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 9, 2026 akizungumza na wananchi wa Namanyere, mkoani Rukwa ametoa maelekezo kwa Mawaziri kuweka kwenye sheria kwamba mkandarasi anapolipwa fedha zake, zile ambazo si zake ziende moja kwa moja kwa watu waliofanya kazi. Ametoa agizo hilo baada ya...
Back
Top Bottom