Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahimu Shayo, amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka mara kadhaa na kutumbukia korongoni katika eneo la Kirinjiko, Wilaya Same, mkoani Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, ajali hiyo ilitokea wakati akiwa kwenye ziara ya...
Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye
Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi,
Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama...
Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), Amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Adai ameanza kusakamwa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza.
Mwenyekiti huyo ameeleza yote hayo Katika ziara ilifanyika leo Februari 16, 2026, na Waziri Mkuu- Mwigulu Nchemba huko Muheza Tanga.
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo.
“Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
———————————-
Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku.
Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026.
Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
Katika mahojiano maalum na Fox Business, Trump alieleza namna nchi nyingi kama Uswisi zinavyonufaika kwa mrefu huku kujaza bidhaa zao marekani bila ushuru huku wao wakiendelea kutoza ushuru bidhaa za Marekani,
"Nilikuwa na tukio na nchi moja nzuri sana, Uswisi. Walikuwa hawalipi ushuru wowote...
Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia.
Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
Ukifuatilia majibu ya waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mwigulu Nchemba pindi anapojenga hoja mara nyingi huwa anajichanganya hali inayosababisha watu kuwa na maswali mengi kichwani
Unadhani huwa ni nini kinapelekea Mh. Mwigulu kukutwa na hali hiyo?
WAZIRI MKUU AHIMIZA MALEZI YA VIJANA KWA AJILI YA KUIMARISHA MAADILI NA MSHIKAMANO WA TAIFA
▪️Atoa tahadhari dhidi ya kuingiza mijadala ya kejeli katika masuala ya imani
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amehimiza malezi bora ya watoto na vijana kama silaha muhimu ya kudumisha maadili...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA
▪️Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Arusha ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United
Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026
———————————————————-...
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
#WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema chama hicho kimepoteza kiongozi muhimu kufuatia kifo cha muasisi wake, Mzee Edwin Mtei.
Akizungumza wakati wa salamu za chama katika ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwa marehemu.
Heche amesema CHADEMA kinatoa salamu za pole kutoka kwa...
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba, leo Januari 24, 2026, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ambapo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mazishi ya marehemu Mzee Edwin Mtei, yanayofanyika Tengeru...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Mji wa Serikali, Mtumba–Dodoma, siku ya Alhamisi, Januari 22, 2026, kuanzia saa 3 asubuhi, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya serikali.
🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran.
Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika:
• Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza
• Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.