waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mali: Makamu wa Rais wa mpito asema anashikilia madaraka. Adai Rais na Waziri Mkuu hawakumshirikisha katika kuunda Serikali mpya

    Makamu wa Rais wa Mpito Nchini Mali, Kanali Assimi Goita amesema amechukua madaraka baada ya Rais wa Mpito na Waziri Mkuu kushindwa kumshirikisha katika uundaji wa Serikali. Goita ambaye aliongoza Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Agosti 2020 amesema alielekeza kushikiliwa Viongozi hao baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Atakeyeonea waandishi wa habari kukiona

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema yoyote atakaye waonea waandishi wa habari wakati wakitimiza majukumu yao watakiona, kwani serikali inawatambua na kuwathamini na isingependa kuona hata siku moja mwandishi anapata tatizo anapotimiza wajibu wake. === SERIKALI: HATUTAKUBALI KUONA MWANDISHI...
  3. JamiiForums Tanzania Utofauti wa viti kwa Waziri Mkuu, Mawaziri, Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri una tija gani kwa taifa?

    Hapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao. Ukiingalia kiti cha waziri mkuu au mawaziri wengine wanapokuwa kwenye vikao hivyo na watendaji wao utagundua...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

    Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote. Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

    Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini. Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aitaka Wizara kutoa taarifa haraka kuhusu Mechi ya Simba na Yanga pamoja na Viingilio vya Mashabiki

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kutoa taarifa haraka sana kwa Watanzania juu ya tarehe ya kuchezwa kwa mchezo huo na pia ieleze utaratibu kuhusu hatima ya waliolipa viingilio ili kushuhudia mchezo huo. Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasihi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Waziri Mkuu tunaomba Serikali itupunguzie mzigo wa kodi kwenye shule na hospitali zetu, Tumeelemewa

    Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea. Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
  8. JamiiForums Tanzania Mnawafahamu waliompachika Dkt. Salim Ahmed Salim jina la Hezbollah katika kugombea Madaraka?

    Wakati inasimuliwa historia ya maisha ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kwenye maisha yake ya uongozi na Professor Mukandala kipengele hiki alikizungumzia, ni kinani hao tuwafahamu kwa mlio na kumbukumbu mpaka ilipelekea Mzee Mwinyi atengeneze nafasi ya naibu waziri mkuu na nafasi hizo na ile ya wizara...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kazi inapoendelea kila Rais anapohutubia Makamu na Waziri Mkuu nao wapo. Imekaaje hii?

    Mabibi na mabwana awamu hii ina maajabu yake. Imekuwa kila Mama Samia anapokuwa anahutubia hapa nchini, basi waheshimiwa: Mpango, Majaliwa na vigogo wa juu nao never miss. Haiyumkiniki vigogo hawa walipenda pia kuwapo Kampala na Nairobi. Hiiiiii bagosha! Wajameni, hizi gharama za...
  10. JamiiForums Tanzania Je, uwezo ( umahiri ) wa Walinzi ( Bodyguards ) wa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huwa ni sawa au hutofautiana kulingana na Vyeo husika?

    Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda. Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
  11. JamiiForums Tanzania Tutawekeza kwenye teknolojia ili watu wasikaguliwe kwa kuvuliwa nguo Mererani

    Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha Waziri...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anavamia lini ATCL?

    Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR. Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia? Bila shaka yale mabilioni alivyosema CAG yatakuwa yanamfikirisha naye pia. Mrejesho tokea ATCL utatupa picha ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora Serikali iyauze kuliko kuyaacha yakiozea pale yard

    Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa. Chanzo: ITV habari Ramadhan Kareem!
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Bunge liko chini ya Rais wa JMT, Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais na mikutano ya Bunge inaahirishwa na Waziri Mkuu

    Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge. Watendaji...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Miradi yote ya awamu iliyopita itatekelezwa

    Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea. Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu katika wadhifa wake huku maandamano ya ghasia yakiendelea

    Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita. Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe hakuelezea sababu yoyote ya kuacha wadhifa wake, aliandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter...
  19. J

    JamiiForums Tanzania CCM tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Hii ya Kibajaji kuwa mchangiaji wa kwanza Bajeti nyeti ya Waziri mkuu ni kama " babeli"

    Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa. Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Bunge wamemtendea haki Hayati Magufuli

    Jana Bungeni Waziri Mkuu alibainisha wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaenzi ‘legacy’ ya Magufuli. Alitaja mambo kadhaa kama vile kupinga rushwa; kuwajali wanyonge; na miradi ya kimkakati. Waziri wa Fedha pia alikemea wanaomrushia ‘mishale’ Hayati. Pia wabunge wengine kama Lusinde...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…