waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aonya barua za Serikali kusambaa WhatsApp, Instagram

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 katika mkutano wa mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala Tanzania Bara na...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden, Stefan Lofven, ajiuzulu baada ya Bunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye

    Waziri Mkuu wa Sweden, Stefan Lofven, ambaye amekuwepo madarakani kwa miaka saba amejiuzulu wadhifa wake baada ya Bunge la Nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani yake wiki iliyopita. Alikuwa Kiongozi wa Kwanza katika Taifa hilo kushindwa Kura ya Imani Bungeni baada ya Chama chenye mrengo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM wenzangu, ni utamaduni wa siku nyingi kila Rais kuwa na Waziri Mkuu wake, tunaomba utamaduni huo uendelee!

    Ni kawaida kwa Rais, mara tu anapoanza awamu yake ya uongozi, kuteua Waziri Mkuu wake,mtu anayemwamini,atakayeenda na falsafa yake, bila kumuwekea makundi. Marais huwa wanaachana na Mawaziri wakuu wa watangulizi wao kuashiria zama mpya, pia kuvunja kundi la kisiasa la aliyemteua. Ni wazi, lile...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, mfumo wa TRA wa utoaji TIN Namba unahujumiwa

    Mhe. Waziri Mkuu Hongera kwa kazi nzuri, sisi Watanzania tunakupa Hongera kwa kazi nzuri unazoendelea kuchapa. Hongera kunyoosha TANESCO, Bandari, EPZA nk. Kwa sasa mulika TRA mitandao yao mingi ya utoaji Control namba na TIN namba haifanyikazi kama zamani. Tangu Jumatatu ya wiki hii TIN namba...
  5. JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu zinanitia mashaka, hasa ile ya Mwendokasi

    Kiukweli kati ya viongozi ambao siwaamini wa kwanza ni Mhe Majaliwa, kwa nini nasema hivi... Miezi miwili iliyopita alifanya ziara pale Mwendokasi akakuta hali ni mbaya magari yamekufa pesa zinaibiwa, watu wanabanana kwenye magari yaani alikuta hali mbaya ila cha kushangaza ni miezi miwili sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

    Habari za mda huu wakuu. Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada. Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana
  7. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imechukua viwanda vyote visivyofanya vizuri

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Viwanda vyote ambayo havifanyi kazi vimesharatibiwa na vitatolewa kwa watu wenye uwezo. Ameeleza, Serikali ilichukua Viwanda vyote ambavyo havifanyi vizuri na vinafanyiwa uchambuzi Amesema hayo Bungeni wakati akimjibu Mbunge wa Ndanda, Cecil...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Naftali Bennett akutana na Kachero Mkuu Idara Kuu ya Ujasusi ya Israel na kumuongezea muda wa kukaa Madarakani

    Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman. Waziri Mkuu ameamua kuwa Mkurugenzi huyo wa ISA ataendelea kusalia kwenye nafasi aliyonayo hadi Oktoba 2021.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Sasa ni zamu ya alizeti

    SASA NI ZAMU YA ALIZETI -Waziri Mku Alitaja Zao Hilo Kuwa Mwarobaini Wa Tatizo La Mafuta -Aelekeza Kufanyika Tafiti Za Mbegu Zenye Mafuta Zaidi -Aeleza Malengo Ya Kuzalisha Tani Milioni 1.5 Za Alizeti,mafuta Tani Laki 3 Kufikia 2025 SINGIDA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Ili kupata wasanii wengi ni vyema kuimarisha somo la michezo kwa ngazi zote

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza ufundishaji wa somo la Elimu kwa Michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi na kuhamasisha wanafunzi wa shule za Sekondari kusoma somo hilo. Amesema kuwa hatua hiyo itawasaidia watoto kujenga moyo wa kujiamini, kuwa ubunifu, kuongeza...
  11. JamiiForums Tanzania Mfahamu Naftali Bennett, Waziri Mkuu mtarajiwa wa Israel

    Naftali Bennett, the 49-year-old future prime minister of Israel known for adopting a religious and nationalist stance, is known for his anti-Palestine views, Naftali Bennett, who on Sunday moved a step closer to replacing Israel’s veteran premier Benjamin Netanyahu, is a mult-millionaire...
  12. JamiiForums Tanzania Makundi ya Wazayuni yatishia kumuua mrithi mtarajiwa wa Netanyahu, Israel

    Makundi ya Wazayuni yatishia kumuua mrithi mtarajiwa wa Netanyahu, Israel Jun 06, 2021 07:27 UTC Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, waziri mkuu mtarajiwa wa utawala huo Naftali Bennett anayetoka muungano wa wapinzanii wa waziri mkuu wa ssaa Benjamin Netanyahu...
  13. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali

    Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali. Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, taarifa zinadai idara na Wizara nyingi zinafunga mwaka na wakubwa wanagawana fedha za funga mwaka

    Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia ukiweke kwenye mpango kazi wako. Nianze kukupongeza kwa kazi kubwa uliyofanya Wizara ya fedha, hongera...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba Itamke: Kiongozi yeyote wa kisiasa asimfukuze kazi mtumishi wa umma

    Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao ni wanataaluma. Unakuta DC anamwagiza DED amsimamishe kazi labda Mhasibu. Hapo unakuta DC hajawahi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Sijaelewa: Ziara ya waziri mkuu Majaliwa pale Hazina inahusiana na ile report CAG aliyoagizwa na Rais Samia?

    Naomba ufafanuzi kwa wataalamu wa chunguzi. Hii ndio ile report ya January hadi March aliyoagiza Rais Samia au PM Majaliwa ameenda kivyake? Nasubiri ufafanuzi.
  17. JamiiForums Tanzania Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi na baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Fedha. Amefanya hivyo ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Ametoa agizo kwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, CP Salum Hamdun kufanya uchunguzi. Tuhuma...
  18. JamiiForums Tanzania Mali: Jeshi lawaachia Rais wa Mpito na Waziri Mkuu, wavuliwa madaraka

    Siku tatu baada ya kuwashikilia, Jeshi Nchini Mali limewaachia Rais wa Mpito, Bah Ndaw na Waziri Mkuu, Moctar Ouane huku likiwavua wadhifa walionao. Viongozi hao walishikiliwa muda mchache baada ya mabadiliko kufanywa Serikalini. Mzozo wa Kisiasa unalikumba Taifa hilo miezi tisa baada ya Jeshi...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Jibu sahihi kupunguza changamoto ya ajira ni ujenzi wa viwanda

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Ujenzi wa Viwanda ndio jibu sahihi la kupunguza changamoto ya Ajira Nchini kwa ngazi zote. Amesema, "Changamoto ya Ajira ipo duniani kote ikiwemo hapa kwetu Tanzania. Kila Serikali inaweka utaratibu mzuri wa kukabiliana nayo" Ameeleza...
  20. JamiiForums Tanzania Wimbi la Ujambazi: Waziri Mkuu asema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kwenye ulinzi

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…