waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Haiti: Waziri Mkuu azuiwa kutoka nje ya nchi

    Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry amepigwa marufuku kuondoka Nchini humo kufuatia uchunguzi unaoendelea kuhusu kuhusika kwake katika mauaji ya Rais Jovenel Moïse yaliyotokea Julai 2021 Mwendesha Mashtaka anatazamia kufungua mashtaka dhidi ya Henry ambaye ametakiwa kuelezea uhusiano wake na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu hawezi kuteuliwa kutoka wabunge wa Zanzibar?

    Nauliza tu waungwana kama Katiba inaruhusu Waziri mkuu atoke kwa wabunge wa kuchaguliwa wa Zanzibar. Mungu ni mwema wakati wote!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbona Waziri Mkuu kaja na hii kauli?

    Najiuliza mini chanzo cha matamshi haya ya PM?
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

    Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu. Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza. Nini maana yake? Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja. Je, ana chongo? Anaumwa jicho? Hapana. Hiyo ni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wastaafu ATCL bado hawajalipwa licha Waziri Mkuu kueleza umma vinginevyo

    Muda usiopungua miaka kumi na hadi sasa wapo wastaafu wa Air Tanzania Company Limited wanadai mafao ya PPF sasa PSSSF hawajalipwa. Wastaafu wa ATCL wanadai haki yao kwa kuwa walikatwa kutoka katika mishahara lakini haikupelekwa PSSSF (PPF) hivyo kuwafanya waambulie mafao kidogo wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Anzeni kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja

    WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya huduma pamoja vya Shirika la Posta Tanzania zijipange na zihakikishe zinaanza kutoa huduma katika...
  7. JamiiForums Tanzania Cheo kimoja kati ya Waziri Mkuu au Makamu wa Rais kifutwe

    Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu wa Rais. Na zingine zikiongozwa na waziri mkuu pekee, Rais akiwa ni ceremonial tu. Na hata...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta

    Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anazindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta, Jijini Dar es Salaam. Vidokezo: 1. Tutaanza na vituo 10 nchi nzima. Tumeanza na Dsm na Dodoma. 2. Vitapunguza muda wa kupata huduma kutoka wiki 4 hadi siku 3. --- MAJALIWA AZITAKA TAASISI ZA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imetoaTsh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kununua mahindi toka kwa wakulima

    Kupitia kwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeshatoa sh. bilioni 15 kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) ili kununua mahindi kutoka kwa wakulima. “Uzalishaji wa mahindi ni mkubwa lakini na sisi pia tumeimarisha hifadhi yetu ya Taifa ya chakula. NFRA tumeipa fedha za...
  10. JamiiForums Tanzania Vita ndani ya mihimili ya Dola: Mbona hawa hawakuhojiwa?

    Kuanzia jumapili tutashuhudia mengi, Ndugai anamtisha Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa wasipomdhibiti Gwajima, atahojiwa waziri mbele ya Kamati ya Maadili. Ndugai, Waziri Wkuu aliudanganya umma kuwa Rais Magufuli haumwi kabisa na hana tatizo lolote tena aliyasema mbele ya waumini siku ya ijumaa...
  11. JamiiForums Tanzania Mali: Waziri Mkuu wa zamani akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

    Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Boubèye Maïga, amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya ndege ya Rais miaka kadhaa iliyopita. Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama na ndege ya Rais ambayo ilinunuliwa kwa Dola za Marekani Milioni 40. Alikuwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2017...
  12. JamiiForums Tanzania Kasi ya utendaji wa Kassim Majaliwa imepungua sana, sio kama wakati wa Hayati Dkt. Magufuli

    Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka. Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo. Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka Watanzania kuachana na wapotoshaji na kusikiliza wataalam

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuwasikiliza Wataalamu katika suala la Chanjo ya COVID19. Asema ni muhimu kuchanja kwasababu inasaidia kupunguza makali ya Ugonjwa. Ameeleza, "Hii sio Chanjo ya kwanza, tumechanja Magonjwa mengine. Nawasihi achaneni na wapotoshaji. Watu...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia atetea kufungwa shughuli za umma kupambana na COVID-19

    Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ametetea mkakati wa taifa hilo wa kuzifunga shughuli za kawaida kama sehemu ya juhudi za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona hadi angalau asilimia 70 ya watu wa nchi hiyo watakapopata chanjo ya virusi hivyo. Akizungumza kwenye mahojiano na shirika la...
  15. JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

    WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashitaka ya kuendesha Chanel ya Utube bila kuwa na leseni. Washitakiwa hao Adamu Thabit( 28) kutoka kampuni ya MMJ Steel Ltd na Mkurugenzi wa Bongo News YouTube, Heri Said(29). Washitakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atangaza zabibu kuingizwa kwenye mazao ya kimkakati

    WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini Dodoma. Kutokana na hatua hiyo, zabibu zitajumuishwa katika...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando apata ajali ya gari

    MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo. Ajali hiyo imetokea wakati mkuu huyo wa Wilaya akiwa kwenye msafara wa ziara ya waziri Mkuu uliokuwa unatoka Dakawa kuelekea...
  18. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu yaahirishwa Mbeya

    Mbeya. Mkuu Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo imesitishwa kufutia kifo cha aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa. Homera amesema leo Jumanne Agosti 3, 2021, akiongeza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa ameondoka...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atembelea shamba na kiwanda cha parachichi Rungwe

    WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA NA KIWANDA CHA PARACHICHI RUNGWE Awahamasisha wananchi waongeze mashamba, parachichi zina faida kubwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la parachichi na kiwanda cha kuchakata mazao ya parachichi na kuwasisitiza wananchi walime zao hilo kwa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema, Serikali haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya corona. Amewataka Watanzania wapuuze upotoshaji unaosambazwa “Chanjo ni hiari tusipotoshane kwa sababu hakuna Serikali inayoweza kuandaa mpango wa kuwaangamiza wananchi wake." ========= WAZIRI Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…