Mali: Waziri Mkuu wa zamani akamatwa kwa tuhuma za ufisadi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Boubèye Maïga, amekamatwa kwa tuhuma za ufisadi wakati wa manunuzi ya ndege ya Rais miaka kadhaa iliyopita.

Anadaiwa kuhusika kwenye kuongeza gharama na ndege ya Rais ambayo ilinunuliwa kwa Dola za Marekani Milioni 40. Alikuwa Waziri Mkuu kati ya mwaka 2017 hadi 2019 ambapo alijiuzulu kutokana na ongezeko la matukio ya ghasia na vurugu Nchini humo.

=====

Mali's former Prime Minister Boubèye Maïga has been arrested over alleged corruption during the purchase of a presidential plane seven years ago.

His lawyer Kassoum Tapo said details about his Thursday arrest were still unclear.

Mr Maïga is said to have been involved in the alleged overpricing of former President Ibrahim Keïta's plane.

He was a defence minister during the purchase in 2014.

The presidential plane was purchased for $40m (£29m), an amount critics said was overpriced.

Mr Maïga was the prime minister between 2017 and 2019 when he resigned amid an upsurge of violence in the country.

Boubou Cissé took over until he was deposed alongside President Keïta in August 2020.

Source: BBC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom