waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi Mabosi wa Polisi Mtwara na Kilindi kupisha uchunguzi wa mauaji

    Waziri Mkuu mh Majaliwa amemuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO wa Mtwara na OCD na OCID wa Kilindi Tanga ili kupisha uchunguzi wa Tume aliyoiunda. Pia, Waziri Mkuu Mkuu Kassim Majaliwa ameunda timu maalum ya watu 9 yenye watu kutoka ofisi mbalimbali za serikali ambayo imepewa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza zawadi ya cheni aliyopewa mkewe iuzwe ili kujenga bweni la Wanafunzi Simanjiro

    MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite. Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

    Ni jambo la kushangaza Sana, wakati wananchi wa Uingereza wakiandamana na kushinikiza Waziri Mkuu wao, Boris Johnson, ajiuzulu kwa ajili tu ya wafanyakazi wa Ikulu walifanya karamu wakati wa corona, hapa kwetu nchini, imedaiwa kuwa Askari Polisi amemchoma sindano ya sumu, mfanyibiashara, wa...
  4. JamiiForums Tanzania Raia wa Rwanda ambao hawajachanjwa hawataruhusiwa maeneo ya umma - Waziri Mkuu

    Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya coronaImage caption: Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Raia wa Rwanda na wakazi lazima wawe wamepewa chanjo kamili dhidi ya Covid ili kuruhusiwa kufika...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza: Barakoa hazitakuwa lazima, kufanya kazi tokea nyumbani kufikia tamati

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza kuwa uvaaji wa barakoa na sheria nyingine za kujikinga dhidi ya COVID-19 zitatupiliwa mbali baada ya nchi hiyo kuwa na maambukizi madogo ya corona baada ya kupata chanjo ya nyongeza. Kuanzia Januari 26 hakutakuwa na ulazima wa kuvaa barakoa shuleni na maeneo...
  6. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Kaimu Waziri Mkuu asema Uongozi wa Taliban umekidhi vigezo, utambuliwe kimataifa

    Mullah Hasan Akhund anayekaimu nafasi ya Waziri Mkuu wa Nchi hiyo amesema Utawala wa Taliban umekidhi vigezo vyote hivyo itambuliwe na Serikali za Kimataifa Akhund ameeleza hayo katika hotuba yake ya kwanza tangu akaimu nafasi hiyo Septemba 2021. Serikali zimekuwa zikisita kuitambua #Taliban...
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu Johnson aomba radhi kwa sherehe ya unywaji pombe

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameomba radhi kwa kushiriki katika sherehe ya kunywa pombe iliyofanyika katika bustani ya ofisi yake wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya vizuizi vikali vya watu kujumuika. Hata hivyo, kiongozi huyo amepuuza miito ya upinzani ya kumtaka ajiuzulu...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania? Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya. Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
  9. JamiiForums Tanzania Kama kweli Rais Samia alimaanisha hicho, basi huenda Lukuvi ni Waziri Mkuu anayengoja kuapishwa

    Kama Rais Samia kile alichokisema kuhusu Lukuvi (kuwa amemtoa kwenye uwaziri na sasa anamleta ikulu kuja kumsaidia kuwasimamia mawaziri, na atampa kazi maalum ambayo watanzania tusubiri kuja kutangaziwa) basi huenda ikawa ni nafasi ya uwaziri mkuu! Huenda kinachofanyika sasa ni kupima upepo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
  11. JamiiForums Tanzania Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

    Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo. Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu. Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ndiye Waziri mkuu wa JMT mtarajiwa. Ni suala la muda tu.

    Kwa kuzingatia ibara ya 51(2) juu ya uteuzi wa nafasi ya waziri mkuu ambacho kinasema: "Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu ana sifa na anastahili kuwa Waziri Mkuu!

    Mchapa kazi, ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje ya CCM, amekuwa akifanyia kazi kwa haraka na ufanisi mkubwa pale malalamiko yanapotokea kwenye wizara anazozisimamia, mtu wa kujituma nani mfuatiliaji yanayofanyika kwenye wizara yake kwa ukaribu zaidi(hana u-mangi meza!), Sio mtu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mpya Ajaye...??

    Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule. Sasa labda hatimaye ukweli umeonekana. Rais anaweza kumrudia Majaliwa kwa kumpendekeza kwa Bunge kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Sudan laonywa kuteua Waziri Mkuu bila kushirikisha wadau wa kiraia

    Marekani na Umoja wa Ulaya wameuonya utawala wa kijeshi nchini Sudan, kutofanya uamuzi wa upande mmoja juu ya uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya kiongozi wa kiraia Abdallah Hamdok kujiuzulu, katikati ya maandamano ya kuupinga utawala huo wa kijeshi Katika taarifa ya pamoja Marekani, Uingereza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

    Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
  18. JamiiForums Tanzania Somalia: Jumuiya za Kimataifa zaingilia mvutano kati ya Rais na Waziri Mkuu

    Umoja wa Mataifa (UN) na Nchi nyingine zinafanya mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Waziri Mkuu kusuluhisha mvutano uliopo ambao unaibua hofu ya kutokea mapigano ya Kijeshi Mapema wiki hii Rais Mohamed Abdullahi Mohamed alimsimamisha kazi Waziri Mohammed Hussein Roble kufuatia tuhuma za...
  19. JamiiForums Tanzania Ufisadi: Rais wa Somalia asimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…