*Mtoto wako anakosea halafu mzazi unapanick unaanza kumkumbushia gharama zote ulizotumia kumsomesha.Umesahau kwamba kusomesha mtoto ni sharti kisheria.Mtoto hakulazimishi,bali sheria ndo inakufunga usomeshe hata kama Ni kwa gharama yoyote ile, kikubwa mtoto apate elimu bora.Wewe heshimu tu...