wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Noam Chomsky asema kuwa Wayahudi wa Ashkenazi hawana uhusiano wowote na kizazi cha Ibrahim bali wanatokana na falme ya Khazar

    Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo middle east, bali asuili yao ni caucus mountains huko Ukraine ilipokuwa Kingdom ya Khazaria. Kwa...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Rabbi wa Kiyahudi na familia yake wasilimu

    Familia maarufu ya Kiyahudi yabadilisha dini kuwa Waislamu. Kiongozi wa kidini wa Kiyahudi aitwaye Rabbi Mort alitangaza kusilimu kwake rasmi. Hapo awali, Rabbi Mort alichukia sana na alikuwa na chuki kwa Waislamu. Hata hivyo, uongozi wa Mwenyezi Mungu ulimjia na akaugeuza kuwa Uislamu. Wakati...
  3. HUMANIST

    JamiiForums Tanzania Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani. Nini...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie. ========== More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kudai Israeli ni Taifa la Mungu huku Wayahudi wakimkaata Yesu, ni ushahidi hizi dini zimejaa uongo mwingi

    Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo. Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo, hutaeleweka na utachakuliwa kuwa ni mwenye dhambi na unastahiili kuombewa. Hata hivyo, cha kushangaza...
  6. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ipi ni historia ya kweli kuhusu Israel na wayahudi wa leo?

    Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa kuhusu ukweli kuhusu Israel. Wengi wakidai waisrael wa leo siyo OG ni kikundi cha watu tu waliamua kuja kufanya makazi kwenye ardhi ya wa-Palestine kwa lazima. Mwenye uelewa anieleweshe wa-Israel wa kwl ni wapi na ipi historia yao kabla ya mwaka 1947.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini jamii kubwa ya Wayahudi ni matajiri na chuki dhidi yao ilivyokuzwa enzi na enzi

    ■AHADI Mungu alimbariki mzaliwa wa Ibrahim, Isaac, ambaye ndie mtoto halisi wa familia ya Ibrahim na Sarah iliotambulika kama ndio familia asilia ya agano la nchi ya ahadi dhidi ya mzaliwa wake wa kwanza aitwae Ismael aliezaa na mjakazi wake kutokana na utasa wa Sarah kabla ya kuambia...
  9. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zangu juu ya Migogoro ya Waarabu na Wayahudi

    Wanasema uzee dawa na ni kuona mengi katika maisha ya ubinadamu. Nakumbuka miaka hiyo ya 1965, nilikuwa kijana mdogo kabisa na nikifuatilia kwa karibu mzozo wa Mashariki ya Kati. Nilibahatika kuishi jijini Cairo na jijini Damascus na Beirut, na nilikuwa naona maandamano na miadhara ya kila siku...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu lijifunze kutokana na vita ya Ukraine na sasa huko Israel/Hamas

    Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi. Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera. Kimsingi baada ya vita ile...
  11. Maleven

    JamiiForums Tanzania Chuki ya Martin Luther kwa Wayahudi ilivyosababisha holocaust

    Martin Luther baba wa imani wa Waluther ( yaani Lutheran/ wanaomfata Luther) hakua na mtazamo chanya juu ya wayahudi. Wanahistoria wanakubaliana kua msimamo wake umechangia pakubwa kuenea kwa chuki dhidi ya wayahudi na kusababisha mauaji (holocaust). Martin Luther aliamini wayahudi ni waongo...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wayahudi ni watu wa vita miaka yote

    Kwanza lazima niweke wazi, mimi ni mkristo. Suala wa hawa binadamu wenzetu Wayahudi, sasa ni pasua kichwa duniani. Kwanza kihistoria , hawa ndio walimuua Yesu Kristo msalabani, kwa mateso makali. Kwa miaka ya karibuni na hata sasa, palipo na vita humkosi myahudi Palipo na ugunduzi wa vifaa vya...
  13. gstar

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

    "Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500. Tumetawaliwa na Warumi, tumetawaliwa na Wa-Byzantini, wametufanyia mambo mabaya, lakini hawakutufukuza, tofauti na vile watu wanavyofikiria. Upotevu wa ardhi yetu ulitokea wakati wa uvamizi wa...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Netanyahu awashutumu Waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler awaue Wayahudi

    Katika video inayosambaa mtandaoni inamuonesha waziri mkuu wa Israel, Netanyahu akiwashutumu waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler kuwauwa na kutaka kutokomeza taifa hilo. Adolf Hitler aliacha historia isiyosahaulika kwa waisraeli kutokana na mauaji aliyoyafanya dhidi wayahudi, ambayo yalipewa...
  15. Mwalimu Adolph Longino

    JamiiForums Tanzania Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖...
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

    Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Je, andiko hili la kiislamu kwa Wayahudi linawezekana kuwa sababu za chuki hizi?

    Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki? sahih muslim 2921 Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying: You and the Jews would fight against one another until a...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu azimio la Balfour lilipelekea kuanzishwa kwa taifa la Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel. kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango huo, Uengereza ilihamisha maelfu ya wayahudi Palestina, na iliwasaidia kununua ardhi. Baadae...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wayahudi 5 wakamatwa baada ya kutemea Wakristo mate huko Israel

    Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu. Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
Back
Top Bottom