wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

    Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo! Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k Sehemu hakuna...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu, Albert Einstein-Relativity(E=mc^2) Neils Bohr- Nuclear, Oppenheimer-bomu la atomic, Edward Teller-bomu la Hydrogen Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa, Boris...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

    Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina. Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani? Quran na...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini "miungu" mingi iliyojiteokeza huwa inajaribu kufuta Wayahudi, walikosea wapi

    Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya Wayahudi, japo siku zote hawa Wayahudi huibuka washindi ila bado kila 'mungu' anayejitokeza huwa hasomi...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

    Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu Kutokana na video hiyo ni ivi Adam ( sir...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, Wayahudi hawahitaji kupitia kwa Yesu kuuona ufalme wa Mungu?

    Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu, Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole" Lakini ni wazi kua wa Israel hawamkubali Yesu, jana leo na hata kesho. Je wao ni exceptional katika njia ya ukweli na uzima?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Holy Redemption: Makala ya mpango mzima wa wizi unaofanywa na Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Watu wengi hususani afrika hawaelewi ugomvi baina ya Wapelestina na Wayahudi. Mara nyingi wamekuwa wakilaumiwa waarabu pale wanapolipiza mabaya wanayofanyiwa na Wayahudi ndani ya ardhi yao. Angalia hii makala na ujue ukatili na unyanyasaji unaofanywa na wavamizi wa kiyahudi dhidi ya...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini kasisi Martin Luther aliwachukia Wayahudi na kushauri masinagogi na nyumba zichomwe moto kwa heshima ya Mungu na Ukiristo?

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani. Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
  10. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Al-Jazeera: Kwaashambulizi ya Makombaora ya Jana, Iran Imeua Wapalestina Zaidi Kuliko Wayahudi

    Kwa taarifa rasmi ya Al Jazeera, waathirika wa mtafaruku huu ni Wapalestina. Kumbe Iron Dome inalinda Wayahudi vuzuri sana.
  11. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Je, uzoefu siyo tatizo kwa wayahudi huko vitani? Angalia umri wa huyu kamanda aliyeuawa huko Lebanon.

    Kuna kamanda ameuawa na Hezbollah huko Lebanon, ukiangalia umri wake halafu ndiyo kiongozi, napata shida kidogo! Wajuzi wa vita tupeni elimu! Israeli commander killed in Lebanon, Israel says The Israeli military says an army squad commander has been killed in Lebanon. It's the first combat...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Israel ya Wayahudi inatambulika kwenye Quran zaidi ya mara 40, Wayahudi wana haki ya kulinda eneo lao

    Hakuna linaloshindikana mbele ya Allah, haijalishi una udogo kiasi gani kukiwa na mkono wa Allah utawashinda wakubwa wanaoungana kukuchangia, Israel ni ka nchi kadogo lakini imeweza kuushangaza ulimwengu mara kadhaa ikiwemo kuzitandika nchi tano kubwa za kiarabu ndani ya siku sita tu...
  13. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kuna Haja ya kuwasomea Albadil hawa Wayahudi.

    Mi ndo naona hili ndo lililobakia.kwa kipindi hiki wakati nchi za Kiarabu zikijipanga kuishambulia Israel. Najua kwa sasa. Yemen,Iran,Palestine, Syria zitakuwa na vikao kujipanga.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Waarabu hawajawahi kuwashinda Wayahudi Tangu Siku ya kwanza Ibrahim alivyokanyaga Ardhi ya Kanaani

    Kwema Wakuu! Kwa wasioelewa haya mambo wanaweza Kuona ni mapya lakini hakuna jipya hata Moja. Mengi ni marudio. Tangu Ibrahim akanyage Hapo Kanaani Muarabu na jamii za Mashariki ya Kati hazijawahi kuwashinda Mayahudi. Ikumbukwe Kuwa Mayahudi ndio yalikabidhiwa Mkoba na Ibrahim ambao Mkoba huo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Wajue Wayahudi wa Haredi: wanatemea mate Wakristo, wanapinga uwepo wa taifa la Israel, hujitenga na wayahudi wengine, hutegemea misaada kujikimu

    Wengi wetu sio wageni kuziona video za wakristo wanatemewa mate wakienda Israel, Ni matukio yanayotokea mara chache lakini kwa jinisi yanavyotrend yanajenga picha kwamba ni matukio ya kila siku na wayahudi wote wapo hivyo, LA HASHA !! Ni jamii ya wayahudi wa Heredi, Kwa idadi yao kuna myahudi wa...
  16. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
  17. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Kusudio langu la kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa wapalestina na wayahudi

    Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina. Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mamia ya Wayahudi wa Iran wakiwa katika sherehe kubwa ya kumsimika Rabbi wao huko Tehran

    Pamoja na ushabiki wetu, tunakumbusha tu Iran kuna wayahudi wengi tu na wanaendelea Kula maisha bila bugdha yoyote. Video ya kuvutia sana. Wayahudi wa Iran mjini Tehran wakisherehekea kuhitimu kwa marabi wapya na wachinjaji nyama. Kulingana na CNN na Fox News wanakandamizwa Ni hayo tu.
  19. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Dunia ingelikwaje bila Wayahudi?

    Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo. Idadi ya Wayahudi ni ndogo sana. Ni asilimia 0.2 ya watu wote duniani. Pamoja na uchache wao, mchango wao ni mkubwa...
  20. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Israel hapakaliki Wayahudi wanakimbia kama nzige

    Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII ⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director Barak Heymann in an article on "Haaretz": More Israelis are leaving and do not want to live in such...
Back
Top Bottom