wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Montenegro: Watu 11 wauawa kwa risasi wakiwemo Watoto wawili

    Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11. Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi hilo alitumia bunduki ya kuwindia wanyama kwa kuishambulia familia iliyopanga katika nyumba yake...
  2. Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti

    Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya. Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
  3. Natafuta Daktari wa kukodi. Kuna kazi ya kutahiri watu wawili wakubwa

    Natafuta Daktari wa kumkodi kuna watu wawili wa Miaka 18 wanahitaji kutahiriwa. Aje na offer kila momja atagharimu bei gani. Nipo Dar es Salaam
  4. Wanaume wawili wa Kiislam wafukuzwa katika ndege huko Marekani

    Wanaume wawili ambao walikuwa wakichati kiarabu kwenye simu na pia kuzungumza kiarabu kwenye ndege huko Marekani ya Alaska airlines! Abiria mwingine katika dege hilo aliwaona wakichati na kuongea kiarabu ndipo alipotoa taarifa katika wahudumu wa dege hilo. Nao wahudumu wakatafsiri zile meseji...
  5. Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola

    Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza. Bondia wa tatu wa Tanzania, Alex Isinde sio tu ataanzia mzunguko wa kwanza bali pia atakuwa ndiye Mtanzania wa kwanza kutupa...
  6. Kama kawaida yetu 'Waswaholi' Ajali ya Mtwara imeua Wengi, ila sasa Wote tuko tu kwa Mzazi aliyepoteza Watoto wake Wawili

    Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki. Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
  7. Manara: hili la kusema wenye akili Yanga ni wawili tu halikubaliki

    Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
  8. Bifu ya hawa wawili Arusha bado mbichi

    Katika siku za hiv karibuni jijini Arusha kumeibuka bifu Baina ya wafanyabiashara wawili ambao inaelezwa hapo awali walikuwa marafiki wa kufa na kupikana. Wafanyabiashara hawa Elizabeth Mayani maarufu kama “Mama Shombee “ anayemiliki kampuni ya Newlook Bridal na Lilian Mosha mmiliki wa duka la...
  9. B

    Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online tv

    Wakuu habari Natafuta watu wawili wenye ujuzi wa media tuanzishe online TV. Wajue ni vifaa gani vya kuanzia tuwe navyo, na programs zote za kufanyia kazi. Wajue kuoperate hizo programs na vifaa. Mmoja awe mwanaume na mwingine binti. Wasizidi umri wa miaka 30. Ukiwa tayari nicheki PM. Mimi...
  10. Wawili wauawa Dodoma kwa Wivu wa Mapenzi

    Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma, ACP Martini Otieno, amethibitisha kutokea kwa vifo vya Dominick Kagula aliyekuwa dereva bodaboda na Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Esta baada ya kudaiwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali. Vifo hivyo vinadaiwa kutokea mtaa wa Msangalale...
  11. A

    Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga. Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
  12. Ugonjwa mikoa ya Kusini: Watatu wafariki, Wawili wapona na Watano wamejitenga katika makazi yao

    Wizara ya Afya imesema kufikia Julai 12, 2022 kulikuwa na Wagonjwa 13, na 3 kati yao wamefariki dunia Wenye dalili za Homa, Kuvuja Damu puani kuumwa kichwa na mwili kuchoka wanaendelea kutafutwa Sampuli za awali zilizopimwa katika maabara ya Taifa zimeonesha majibu hasi (negative) kwa ugonjwa...
  13. Askari wawili JWTZ wafa ajalini, wanne wajeruhiwa

    Askari wawili wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kikosi cha 825 KJ kambi ya Mtabila iliyopo wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepakia kuacha njia na kupinduka. Kaimua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Menrad Sindano...
  14. Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

    Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi. Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari...
  15. Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  16. VIAGRA ISSUES: Jamaa afariki Dunia akila uroda na wanawake wawili

    Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to happen to them surely? Leo mida ya asubuhi tumeshuhudia tukio la kushangaza Sana ambapo mwanaume mmoja...
  17. Wamarekani wawili hawajulikani walipo Ukraine, yahofiwa wametekwa na Warusi

    Wanajeshi wawili wastaafu wa Marekan ambao walikuwa Nchini Ukraine wakipigana vita dhidi ya Urusi hawajulikani walipo na inahofiwa wametekwa na wanajeshi wa Urusi. Alexander Drueke, 39, na Andy Huynh, 27 mara ya mwisho walionekana katika Mji wa Kharkiv, Juni 8, 2022. Familia za wahusika hao...
  18. Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
  19. Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  20. H

    Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…