Iran: Waigizaji wawili wakamatwa kwa kuunga mkono maandamano

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Waigizaji hao wa kike, Hengameh Ghaziani na Katayoun Riahi wanashikiliwa wakidaiwa kwenda kinyume na mamlaka kwa kutovaa mavazi ya kufunika vichwa vyao hadharani na kuunga mkono maandamano yanayoendelea.

Maandamano yanayoendelea yamesababisha vifo vya watu wengi na wengine kujeruhiwa chanzo kikiwa ni kifo cha Mahsa Amini (22) ambaye alipoteza maisha akiwa chini ya ulinzi baada ya kushikiliwa na Askari wa Kijamii kwa kutovaa hijabu.

=============


Two prominent Iranian actresses arrested - state media

Two prominent Iranian actresses have been arrested for publicly supporting mass anti-government protests, the country's state-run media reports.

Hengameh Ghaziani and Katayoun Riahi are accused of collusion and acting against Iran's authorities, Irna news agency says.

Both women earlier appeared in public without their headscarves - a gesture of solidarity with demonstrators.

The protests erupted in September after the death of a woman in police custody.

Mahsa Amini, 22, was detained by morality police in the capital, Tehran, for allegedly breaking the strict hijab rules. She died on 16 September, three days later.

There were reports that officers beat her with a baton and banged her head against a vehicle, but police denied that she was mistreated and said she suffered a heart attack.

Ms Ghaziani and Ms Riahi - both multiple-award winning actresses - were detained on Sunday on the orders of Iran's prosecutor's office, Irna says.

Before the arrest, Ms Ghaziani wrote on social media that "whatever happens, know that as always I will stand with the people of Iran".

"This maybe my last post," she added.
The actresses are among a number of high-profile Iranian public figures to have expressed support for the protesters rallying against the country's clerical establishment.

Earlier on Sunday, Ehsan Hajsafi, captain of Iran's national football team at the World Cup in Qatar, said that "we have to accept that the conditions in our country are not right and our people are not happy".

Separately, the head of Iran's boxing federation, Hossein Soori, announced that he would not be returning home from a tournament in Spain due to the violent suppression of the protests in his home country.

Human rights activists have said that some 400 demonstrators have been killed and 16,800 others arrested in a crackdown by security forces.

Iran's leaders say the protests are "riots" orchestrated by the country's foreign enemies.

At least five protesters have been sentenced to death in connection with the demonstrations.

Source: BBC
 
Mnakazi kubwa sana.Mavazi haywezi kumpeleka mtu mbinguni Bali matendo yake ya huruma ndiyo yenye kumfikisha mbinguni.
Yaani hii dini kwa kweli ni shida. Yaan mwanaume mzima unaaga mke na watoto wako kua unaenda kazini kuangalia huko mitaani kama wanawake wamevaa vizuri. Nani hajafunika nywele vizuri unamkamata?
 
Kama isingekuwa kulazimishana na kutishana uislam ungesha kufa wenyewe sikunyingi.

Ukridto ni hiyari hata katika nchi za waKristo wengi huwezi kuona waislam wanalazimishwa kufuata matendo ya waKristo.
Mfano ni haya mambo ya kuchapana eti ukionekana unakula hadharani wakati wengine wamefunga.
 
Yaani hii dini kwa kweli ni shida. Yaan mwanaume mzima unaaga mke na watoto wako kua unaenda kazini kuangalia huko mitaani kama wanawake wamevaa vizuri. Nani hajafunika nywele vizuri unamkamata?
 
Back
Top Bottom