Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
 
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa ( PhD ) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Acha kujadili watu Dude, jadili ideas and concepts tafuta pesa zako, kama huna mada za maendeleo soma tu mada za wengine tu.
 
Back
Top Bottom