wawekezaji

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuunganishe nguvu tuwavutie wawekezaji kwenye haya maeneo ya mafuta na gesi tusiichie serikali pekee inatingwa

    Taifa letu lina maeneo mengi wazi ya kuwekeza katika sekta ya mafuta na gesi. Maeneo muhimu sana nayoyaona mimi ni yafuatayo: 1. Vituo vya kujaza mafuta mijini na vijijini (Fuel and service stations in cities and rural areas). 2. Vituo vya kujaza gesi iliyoshindiliwa (CNG) mijini (CNG filling...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Samia asije tuletea ukoloni tena kwa kuwafurahisha wawekezaji

    Wawekezaji lengo lao ni kupata wala sio kuja kutuletea maendeleo. Ni juu ya nchi yenyewe kuweka sheria na taratibu kuhakikisha uwekezaji wa wageni unanufaisha umma wa wananchi wala sio wawekezaji peke yao au wawekezaji na tabaka fulani tu nchini. Vigogo wanaotaka kufaidika na uwekezaji wa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania CCM wanajua wawekezaji wataikimbia nchi baada ya Vodacom kutangaza hasara iliyotokana na tozo?

    Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni namna gani tutaipiku Uchina katika Science na teknolojia, na kuwa wawekezaji wakubwa na wauzaji wa teknolojia kote duniani

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa makalia hii, nilicho kiandika hapo juu, kuhusu jinsi nchi yangu pendwa, Tanzania inaweza kuipita Uchina katika technologia Miaka ijayo, kama Tuu tutaamua kuwekeza katika Elimu yetu kwa kiwango cha mapinduzi. Pia hili lilikua ni ndoto kwa Uchina miaka ya 60's kuipiku...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

    Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
  7. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba atangaza Serikali kununua umeme kwa wawekezaji Njombe

    Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji Chanzo: ITV Tanzania/ facebook -------- Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu ya wananchi wa Lugalawa, wilayani Ludewa mkoani hapa, kuhusu upatikanaji wa umeme na mbolea kwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna "wawekezaji" wanaotetewa kimagumashi kama kampuni za simu

    Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu Sanasana watu wakilalamika wataambiwa nyie hamjui kutumia simu zenu kuna APPS zinakula data, mara Tanzania ni ya sita afrika kwa kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vita hewa vya kiuchumi na Dhuluma kwa wawekezaji wazawa

    Kuna kitu huwa najiuliza wakati wote kuwa sisi Tanzania kipindi cha 2015-2021 pale Mungu alipo amua ugomvi tuliaminishwa kuwa kuna vita ya kiuchumi! Huu ulikuwa ni uongo na uzandiki wa wazi kabisa. Tanzania hatukuwa na vikwazo vyovyote vya kiuchumi bali tulikuwa na vikwazo vya kisheria kutokana...
  10. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wawekezaji nchini Tanzania yazidi kupaa

    Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua, Wawekezaji kuzungushwa inatosha sasa

    Katika kilele cha Kongamano la kumbukizi ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin Mkapa, Rais Samia alionesha waziwazi kukerwa na tabia ya watendaji wa juu, vigogo, Mabosi wa idara, mashirika na taasisi mbalimbali za Serikali kuwazungusha wawekezaji wanaofika nchini kutaka...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukodishia visiwa 52 wawekezaji

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja. Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
  13. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji (GSM & Mo Dewji) waheshimiwe!

    Wawekezaji waheshimiwe ! Kupitia kampeni za 'NANI ZAIDI', Simba kuchangia pesa kujenga uwanja, Yanga kujiandikisha kidigigitali,, Picha halisi ni aina gani ya mashabiki waliopo kwenye vilabu vya Simba na Yanga imeonekana. Katika zoezi la nchi nzima la kuchangisha pesa kujenga uwanja, ndani ya...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Serikali inapoingia mikataba ya karne ya mahekta ya ardhi na wawekezaji ni pigo kubwa kwa kizazi kijacho

    Wakuu Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini. Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KIGWANGALLA: Wawekezaji wa Vitalu wanahonga sana pesa, wapo tayari KUUA wapate wanachotaka, ukikataa wanakutegea mtego wa Rushwa

    Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu. “Wawekezaji hasa wa vitalu wanapenda kuwa na maeneo makubwa, wale wa picha siyo sana, watu wa vitalu...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kusainiwa mkataba wa EPA, kuwabeza wawekezaji wa ndani

    KUSAINIWA MKATABA WA EPA,KUWABEZA WAWEKEZAJI WA NDANI. Nimeona ACT wakitoa hofu yao kama ile ya Hayati Mkapa ya kuhofia bidhaa nyingi nchini hivyo kutowalinda wawekezaji wa ndani. 1. Tujiulize faida za kuruhusu bidhaa za nje kuingia nchini yaani import goods nyingi nazo ni zipi? 2. Kwanini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe akutana na wawekezaji wa kiwanda cha mbolea

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji Toka China

    Sijui kama taifa tunakwamia wapi. Sijui tunashindwa nini. Tunahangaika na wakina mbowe, wachina wanafanya mambo yao. Huu ndio ughaidi sasa, maana ni wenginsana wanafanya kazi kamanhizi mtaani. Huyu kijana anaitwa Xu Jiangping alikuwa ni mfungwa aliyekuja kwenye ujenzi wa barabara. Mkataba...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wasaidiwe kutatua kero kwa urahisi

    Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata hasara ya shs Bilioni 8 huku akiwa ame ajiri wafanyakazi zaidi ya 1000. Wahusika TRA na Kituo cha...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wakoloni wanarudi kwa jina la wawekezaji, ilitabiriwa na tayari inatuathiri

    Soma post vizuri kabla hujajijbu hoja, kama mtu anayejua anachoema. Kila nchi inahitaji wawekezaji, lakini lazima tuwe waangalifu na kutunza uhuru wetu kama post inavyosema, tusipokuwa makini watarudi kama wawekezaji. Angalia Zambia na Kenya na hatihati za kupoteza haki za baadhi ya miundo...
Back
Top Bottom