Haijulikani sababu ni zipi zimeletekeza watumishi wa Umma ndiyo kuwa wengi katika kutia nia kuliko wafanyabishara na wafanyakazi wa Sekta Binafsi. Kuna wengine ambao waajiri wao wamegoma kuwapitishi ruhusa.
Kuna wengine kwa kuona mizengwe ya viongozi wao kuhusu kuomba ruhusa wameamua kuondoka...
Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu.
Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
Yaani watumishi wa Umma sijui hawajitambui mnakwama wapi vimafao vyenyewe vidogo lakini mstaafu anaangaika zaidi ya miaka kufuatilia wengine mpaka mauti yanawakuta na hajaona hayo mafao yake.
Wenzenu wabunge yaani miaka mitano mzigo wa maana na hauchukui hata siku mbili tayari unakua umetoka...
Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%
Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT""
Ila nakumbuka mwaka 2018...
Awamu ya tano imeonysha kuwa wafanyakazi sio tu hawamnyimi usingizi bali hata hawana maana kwake. Ukiondoa uvunjaji wa sheria aliofanya kupandisha mishahara na madaraja hata ahadi zake za kupunguza kodi (PAYE) kwa wafanyakazi hajajigusa.
Walidanganya uhakiki ndio kikwazo miaka mitano imepita...
Kama kesho utaongelea unachopanga kukifanya iwapo utafanikiwa kuwa Raisi wa nchi hii licha ya ukweli kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi,nakushauri wewe kama mgombea uraisi(iwapo chama chako kitakuteua kuwa mgombea wao) uwe na ahadi zako kama mgombea uraisi na hizi nitazotaja hapa chini ziwe ni...
Mara kwa Mara ukiiangalia taarifa za habari utakutana na watu wanaoitwa wakopeshaji umiza. Hawa ni shylocks kwa lugha ya Kiingereza au ukipenda waite "mashailoki". Hawa jamaa wanawakopesha watumishi wa uma kwa masharti makali na ya aibu mno.
Kwanza riba ni kubwa sana inaanzia 40%+ lakini pia...
Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata.
Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana.
Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki...
Nimeuliza kwa faida ya mtu mwingine ambae amekuja kuniuliza akidhani najua kila kitu.
Je, kwa watumishi au mtumishi wa umma ambae anafanya kazi shirika au taasisi ya umma inayojitegemea akitaka kuhamia taasisi nyingine anafuata utaratibu upi?
Kwenye mtandao au kwenye tovuti ya utumishi...
NMB ndio benki yenye wateja wengi sana nchini karibia asilimia tisini ya wafanyakazi wa umma mishahara yao inapitia benki hii. Lakini tatizo kubwa la NMB kama benki mama ni huduma ya mikopo mbovu kwa watumishi wa umma kuna mlolongo na usumbufu wa kutosha kwa mtumishi hadi anashawishika kutoa...
Nawasihi watumishi wa umma hamtarejea Tena alipowatoa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais magufuli amewahisha anguko lenu ambalo kiukweli lilipaswa kuja baada yake. Kimsingi mtaloose kuanzia sasa mpaka kizazi Cha 15 yrs to come hivyo ambao mlikuwa mnalewa anzeni kujenga na kuweka vitega uchumi, hali si...
Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa.
Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu...
Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19
........
Sent using Jamii Forums mobile app
Asalaam poleni na Hongereni kwa mapambano ya Covid19.. ALLAH atatufanyia wepesi Inshaallah.naamin umesema Amin.
Naomba nitumie jukwaa hili kuwapa salamu za MEI MOSI Watumishi wa UMMA kada zote.. niwapongeze sana kwa uvumilivu wao wa Miaka 4, bila nyongeza ya MISHAHARA , na bila kupanda...
Habarini Wadau,
Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili.
Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi.
Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.