watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri Kabudi akanusha kuthibitisha kifo cha Mwanahabari, Azory Gwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amekanusha kuwa amethibitisha 'kifo' cha mwanahabari Azory Gwanda. Msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania, Dkt Hassan Abbas amemnukuu Profesa Kabudi kwa kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter akisema: "Nimepokea kwa masikitiko...
  2. Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

    Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari. Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi. Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi...
  3. Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

    Wakuu, Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi. Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha. Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa...
  4. Mfanyabiashara Raphael O. Ongangi atekwa na watu wasiojulikana! Ni aliyekuwa Msaidizi wa Zitto

    Mfanyabiashara wa jijini Dar, Raphael O. Ongangi anadaiwa kutekwa siku ya Jumatatu tarehe 24 Juni, 2019 na watu wenye silaha akiwa anaelekea nyumbani kwake maeneo ya Masaki. Raphael alikuwa mshauri wa karibu wa ndugu Zitto kabla ya Uchaguzi Mkuu 2015. Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wake...
  5. Mwanahabari wa Tanzania aliyetoweka Azory Gwanda aorodheshwa miongoni mwa visa 10 vya wanahabari duniani vinavyohitaji dharura

    Mwandishi wa Tanzania aliyetoweka Azory Gwanda ameorodheshwa miongoni mwa visa kumi vya dharura na kudi moja la muungano wa uhuru wa vyombo vya habari duniani. Kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania Mwandishi huyo ambaye hajaonekana tangu Novemba 2017 ameshirikishwa katika orodha ya...
  6. Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

    Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza sana! Turudi kwenye mada. Ben Saanane mara ya mwisho kabla hajapotea alitoka kwao asubuhi kama kawaida...
  7. Mwenyekiti wa UVCCM aliyesema Peter Zacharia katekwa na watu wasiojulikana, apandishwa kizimbani

    Tarime. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis atapandishwa kizimbani muda wowote leo Julai 2, 2018 baada ya kukamilika kwa mahojiano na polisi. Francis anatuhumiwa kutoa taarifa za uwongo katika mitandao ya kijamii kuhusu sakata la kukamatwa kwa mmiliki wa...
  8. Polisi Zanzibar walichora Mchoro wa wasiojulikana wakakamatwa, bara tunashindwa nini kwa Lissu?

    Heshima kwenu wakuu, Kigugumizi cha nini baba? Padri wa Kanisa Katoliki, Evaristus Mushi aliyefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akiegesha gari kando na Kanisa la Mtoni mwaka 2013, rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri...
  9. ORODHA: Watu Waliouawa/Kutekwa/Kupotezwa na Watu Wasiojulikana/Police Brutality Utawala Wa Magufuli

    Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuweka rekodi za watu waliouwa/kutekwa/kupotezwa na watu wasiojulikana/police brutality kwenye utawala wa awamu ya 5. Matukio yote yatakayowekwa yawe yametokea kuanzia 05 November 2015. Kuweka kumbukumbuku sawa tuweke majina, tarehe za matukio na picha za wahanga...
  10. Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu kuhusu watu watu, kwa kulisaidia jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuitumia mitandao ya kijamii positively as source of a security tip ya vital information kuhusu uchunguzi mbalimbali. Usisubiri hadi mtu akaripoti polisi kuhusu...
  11. 2017 Mwaka wa watu wasiojulikana

    Asalaam Alleykum: Mwaka 2017 ulikuwa na mbwembwe nyingi sana. Moja wapo ya mbwembwe hizo ni zile za watu wasiojulikana ambao walipiga vita za madawa ya kulevya wakashindwa, wakavamia Clouds na kutisha watu, wakamiminia Tundu Lissu risasi na mambo mengi ambayo yalilitia doa nchi yetu kama vile...
  12. Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

    Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina...
  13. Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

    EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza .... Naomba nikukumbushe kwa FACTS: Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai mwezi Mei, mwaka 1998 - Rais hakuwa Magufuli! Wakati wafuasi wa CUF Pemba walipopigwa...
  14. Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais William Ruto yashambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana

    Watu wasiojulikana wameshambulia nyumbani ya mashambani ya Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto Magharibi mwa Uasin Gishu Kaunti, ripoti zinasema. Ripoti katika eneo hilo zinasema kuwa washambuliaji hao waliwashinda nguvu polisi mmoja katika lango la nyumba hiyo na kuingia ndani. Ufyatulianaji...
  15. Zaidi ya ekari elfu 7 za mazao ya wananchi Kigoma zavunwa na watu wasiojulikana na nyumba kuchomwa

    Wananchi wa kijiji cha Kitanga katika wilaya ya Kasulu mkoani kigoma wamelalamika zaidi ya ekari elfu saba za mazao kuvunwa na watu wasiojulikana pamoja na nyumba zao kuchomwa kutokana na mgogoro uliosababisha pia kifo cha mtu mmoja. Wamemwambia Naibu waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya...
  16. TANZIA Thomas Mashali afariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana

    Radio Free Africa kipindi cha michezo asubuhi hii wametangaza kifo cha ghafla cha Bondia Thomas Mashali. Thomas ni bondia aliyeleta changamoto kwenye gemu na kuifanya ichangamke. Chanzo cha Kifo chake inadaiwa kuwa kimesababishwa na kipigo cha wananchi hapa maeneo ya Kimara. ======= Mashali...
  17. J

    Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

    Nimeongea na OCS Igogo muda unaenda hakuna msaada. Mwenyekiti wa mtaa wa Bulale Trazo amepigwa risasi SAA 1.45. Mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Mwanza, Nyamagana kata ya Buhogwa. ======== TAARIFA RASMI: Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza, Ndg...
  18. P

    Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

    Habari wakuu, Kwa Mjibu wa radio one nipashe aliyewahi kuwa profesa wa chuo kikuu cha Dar es Salaam profesa Athumani Mavige ameuawa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Bunju. Polisi wamenukuliwa kuwa alikua anaishi peke yake na hivo hakuna ajuaye kauawa vipi na kauawa jana usiku na kuwa kwa...
  19. Watu wasiojulikana wakata nguzo za umeme katika line kuu na kusababisha hasara

    Watu wasiofahamika wamekata nguzo za umeme katika eneo la Kola B mjini Morogoro kwa lengo la kuiba kopa na mafuta ya Transfoma katika line kuu ya umeme na kulisababishia shirika la umeme Tanesco hasara ya zaidi ya shilingi milioni 200. ITV imeshushudia wafanyakzi wa shirika la umeme Tanesco...
  20. Watu wasiojulikana wameiba sanduku lenye chatu na kulitelekeza

    Wezi waliiba sanduku wakidhania kuwa kuna pesa ndani yake kumbe sivyo. Waliopofungua sanduku hilo, walikutana na #Chatu mkubwa sana na hatimaye walikimbia na kutelitelekeza hilo sanduku. Huyo joka alikuwa yuko hai na akauwawa na watu. Source ITV. --- Wakazi wa sinza uzuri jijini Dar es salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…