watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake msikae kimya kwenye ndoa kwa unyanyasaji kisa watoto

    Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa. Watoto watakua tu. Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako. REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
  2. JamiiForums Tanzania Filamu ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, unaweza kuangalia na mpenzi wako

    Hizi hapa baadhi ya Movie ambazo hutakiwi kuangalia na watoto, au kama upo na mwenza wako unataka movie Colour Of Night The Dreamers Intimacy Nymphomaniac In The Realm Of The Senses Kiss And Kill Loving White Girl Love Darker Shades Of Elites Illicit Desires Spread Mother's Job Double Lover...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto wenu hasa wa kiume

    Inasikitisha sana kuona wazazi wanazaa tu kisha kuacha watoto wajilee wenyewe. Dunia ya sasa imeharibika, hii imetokea juzi nikiwa nimelala zangu mchana majira ya saa saba, nikiwa kwenye usingizi mzito nasikia sauti ya mtoto mdogo akilalama aachiwe. Sikutilia manani nikahisi huenda labda naota...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  5. JamiiForums Tanzania Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

    Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Familia yakamatwa kwa kuozesha watoto wa miaka 12 na 16

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia watu saba, wakiwamo wanafunzi wawili wa Shule ya Msingi Kitarungu Wilayani Sereni kwa tuhuma za kuhusika kufanikisha ndoa ya wanafunzi hao wenye umri wa miaka 12 na 16 kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu alisema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua mfumo wa usafirishaji wa dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-Mama)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Aprili 06, 2022 anatarajia Kuzindua Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA). Uzinduzi wa Mfumo huu muhimu katika kuwasaidia Wajawazito na Watoto Wachanga unafanyika kwenye Viwanja vya...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Watoto

    Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani. Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaowakataa watoto damu zao waliowazaa nje/kabla ya ndoa kuna kitu wanakijua ambacho sisi hatukijui

    Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui. Please fungukeni wakuu ni kitu Gani hicho mnacho kijua ambacho sisi wengine hatukijui
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Mtaa Tupieni Jicho Kundi kubwa la watoto wanaoishi Daraja La Kijazi

    Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

    Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika. Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita na walifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume; ambao kwa sasa mmoja ana miaka 13 na mwingine 9...
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Marufuku watoto chini ya miaka 9 kupanda bodaboda

    Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Iringa, kimepiga marufuku watoto chini ya umri wa miaka tisa kupanda bodaboda. Mkuu wa Kitengo hicho, ASP Yusuph Kameta amesema ni kosa kisheria kwa mtoto chini ya umri huo kupanda bodaboda. Hata hivyo, wazazi na walezi wengi ndio wanaoongoza kuwapakia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

    Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!! Ili kuwadanganya Hawa watoto wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Katiba zibadilishwe, Watoto wanahitaji uhuru wa maamuzi yao, mahari inatumika kuwafanya watumwa

    Kila mwaka Juni 16 huwa ni siku ya kukumbuka watoto waliouawa katika Kitongoji cha Soweto, Nchini Afrika Kusini wakati wakiandamana kupinga ubaguzi wa rangi uliokuwa ukiendeshwa na utawala wa wakati huo wa Makaburu. Mauaji yalifanyika mwaka 1976 wakati watoto hao waliokuwa wakidai haki ya...
  15. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watoto waliotumwa dukani usiku, wabakwa, walawitiwa, waliwa na fisi (ripoti ya Polisi)

    Watoto 10 wakazi wa Kata ya Mhongolo, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wamebakwa na kulawitiwa kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita na wengine wawili wakiliwa na fisi. Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia...
  16. JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafamilia abaka na kulawiti watoto wa familia moja

    JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa la tatu wa familia moja wa Shule ya Msingi Bukori. Wanafunzi hao wameumizwa sehemu zao za siri kiasi cha kushindwa kwenda haja. Kamanda wa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

    Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu. Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka...
  18. JamiiForums Tanzania Mabasi ya kubeba wanafunzi ya St. Anne ya Rweikiza hayafanyiwi 'service', yanaweza kuleta madhara kwa watoto

    Asubuhi ya leo nimekutana na magari mawili makubwa aina DCM yakiwa yamepakia wanafunzi kwenye barabara ya kwa Musuguri. Aisee magari yakiwa yanashuka bondeni ukiwa bwaloni pale, gari dereva akipunguza break utadhani ni bom la Ukraine gari zinalia sana kuashiria yakuwa hazifanyiwi services...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwazindika watoto wetu

    VIP
  20. JamiiForums Tanzania Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

    Yaani akatumia pesa za wananchi maskini kukusanya maoni ya katiba. Yakapatikana. Akatumia mabilioni ya pesa za Maskini kuliitisha Bunge la Katiba....likakaa...wakalipana mapesa mengi. Kisha akavuruga mchakato. Akakaa pembeni akicheka mchezo aliofanya....watanzania ni wasahaulifu sana. Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…