watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Suala la Tozo hamjaweka hata huruma kwa pesa za makanisa, misikiti, ada za watoto wetu, wazee wastaafu na mishahara ya wafanyakazi

    Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah. Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi. Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
  2. Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
  3. Siri ya watoto kumzika baba yao akiwa hai Songea

    Imani potofu za kishirikina walizonazo baadhi ya vijana wa Kijiji cha Mahanje, mkoani Ruvuma hasa anapokufa kijana mwenzao, zimesababisha vifo na mateso kwa wazee wanaotuhumiwa kuhusika na vifo hivyo. Mbali na vifo, pia wamekuwa wakiwahusisha wazee na matatizo yao, ikiwemo kuumwa kwa madai...
  4. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Habari wanaJF! Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu. Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
  5. Watoto wanaoishi mazingira magumu kunufaika kielimu

    Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali The Foundation For Tomorrow limeendelea na programu ya kutoa elimu bora kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kuwasaidia udhamini wa masomo, kuanzia ngazi ya elimu ya awali hadi kidato cha sita ili waweze kujikwamua kimaisha. Hayo...
  6. Wazazi wakamatwa kwa kuwajeruhi kwa moto watoto wao wakiwatuhumu kuiba Mahindi

    Wazazi wawili Yohana Josephat (40) na Lucia Michael (30) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu baada ya kuwajeruhi watoto wao kwa kuwachoma na moto sehemu mbalimbali za mwilini baada ya kuwatuhumu kuiba mahindi debe moja. Watuhumiwa ni Wakazi wa Kijiji cha Yitwimilaa, Kata ya Kiloleli...
  7. SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  8. M

    Natamani makarani wa sensa wangetuuliza pia idadi ya michepuko tuliyonayo na idadi ya watoto wa nje

    Hili swali lilikuwa muhimu sana. Kwa nini? Serikali ingejua kwa kiwango gani wanaume tunajitoa kusitiri wanawake wasioolewa au michepuko kwa kiasi gani,hii huenda ingesababisha mishahara yetu kuongezeka. Pili ingejua tatizo la single mother ni kubwa kiasi gani hivyo huenda vatican wangeruhusu...
  9. Wapelelezi wa Mikoa Watakiwa Kufuatilia kwa Ukaribu Matukio ya Ukatili wa Kijinsia na Watoto

    Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
  10. Changamoto za Malezi ya Watoto kipindi wakiwa kwenye Balehe

    Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia. Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
  11. Ni Jukumu la Kila Mmoja Kuhakikisha Watoto Wote Wanaishi Salama Katika Jamii

    Ukatili unaotekelezwa dhidi ya watoto unaweza kuwa wa aina nyingi. Unaweza kuwa wa kimwili, kihisia au kingono. Unaweza kufanyika katika mazingira yoyote kama vile nyumbani, katika jamii, shule na mtandaoni. Ukatili dhidi ya watoto unajumuisha aina zote za ukatili dhidi ya watu walio chini ya...
  12. Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto. Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya...
  13. Mwanamke kuwa na watoto wachache inamuongezea tabia ya kutotulia kwenye ndoa

    Mara nyingi hamuitikii salamu Nilichogundua ni kwamba mwanamke mwenye watoto wengi anakuwa mtulivu Sana kwenye ndoa kuliko mwenye watoto wachache. Kwangu nimepima watoto wengi nikuanzia wanne kwenda juu na mwenye wachache ni watatu kushuka chini. Kuna wenye watoto wachache kutokana na matatizo...
  14. R

    Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

    Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
  15. Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
  16. Montenegro: Watu 11 wauawa kwa risasi wakiwemo Watoto wawili

    Shambulizi la risasi katika Mji wa Cetinje Nchini Montenegro limesababisha vifo vya watu 11 kati yao Watoto wakiwa ni wawili wa miaka 8 na 11. Taarifa ya Polisi inasema mtuhumiwa wa shambulizi hilo alitumia bunduki ya kuwindia wanyama kwa kuishambulia familia iliyopanga katika nyumba yake...
  17. Pesa ya Mwanamke ilivyotamu lazima niilambe! Huo ndio msimamo wangu

    PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU! Anaandika, Robert Heriel Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo. Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema? Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
  18. Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  19. Johnson & Johnson kuacha kuuza Poda ya Watoto kwa Madai ya Kusababisha Saratani

    Kampuni hiyo ya Afrika Kusini imetangaza kuacha kuuza poda yake ya watoto yenye kemikali ya #talc duniani kote ifikapo Mwaka 2023, kutokana na hofu ya usalama wa watumiaji Mnamo 2020, J&J ilitangaza kuwa itaacha kuuza talc Baby Poda katika nchi za Marekani na Canada kutokana na kile ilichokiita...
  20. SoC02 Watoto wa Mitaani ni Janga la Kitaifa

    Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana ambaye hajafikia umri wa utu uzima, ambapo mtaa (ikijumuisha makazi yasiyokaliwa, maeneo yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…