watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

    Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam? Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
  2. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wazazi/ walezi jitahidini sana kuzisoma hisia za watoto wenu

    Hii kitu imeleta shida hapa eneo ninaloishi, nipo huku mkoani kikazi na kwakuwa kazi yangu itachukua muda mrefu nimeona nipange nyumba kabisa. Sasa hapa nilipopanga naishi na mama mwenye nyumba ambae ana kibinti chake kilichovunja ungo, nadhani mnaelewa sifa ya hivi vibinti vinakuwa vya moto...
  3. maroon7

    JamiiForums Tanzania Sio sawa watoto kumaliza mtihani wa taifa kisha kuendelea na masomo ya mwakani

    Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni. Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu. Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Watoto 15,000 hufariki kwa changamoto ya Selimundu kwa mwaka

    Na. WAF - Mwanza Takwimu zinaonesha kuwa watoto takribani elfu kumi na moja huzaliwa na ugonjwa wa Selimundu (sickle cell) kila mwaka nchini Tanzania hali ambayo imekuwa tishio kwa Taifa la baadae. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba, Prof. Paschal Ruggajo wakati wa uzinduzi wa...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kama watoto wadogo wanaweza piga mbizi na kwenda na kasia mpaka kwenye ndege ilozama wakati wana maji wakiogopa kusogelea Je tubadili mfumo wa Elimu?

    Nimejiuliza sana juu ya hivi Kwanini lisiwepo somo la self defense Kama Ulaya mtu ajue kuogelea na kujikinga na baadhi ya majanga? Simaanishi waliopata ajali ndo waogelee namaanisha mfumo wetu wa elimu wa ku kalili mambo ya kinjekitile kichwani bila msaada wowote bora Liwepo somo la uokoaji...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtwara wilaya ya Masasi hakuna takwimu za watoto wanaoacha shule?

    Jamani hizi takwimu za wanafunzi huko Kusini Mtwara kuacha shule ni kubwa sana. Yaani zaidi ya wanafunzi 1500, hii siyo ya kufurahia wala kuchekea. Tuwaombee wenzetu. Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa...
  8. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Tuwe tunaangalia na majina ya kuwapa watoto

    Siyo sijui Mateso, Tabu, shida, sikujua, kaburi, Satan, illuminata, Vumilia na mengi mnayoyajua. Mpe jina mtoto aitwe Majaliwa...bahati na moyo kwenye utu hutembea humohumo kupitia jina.Endeleeni kujiita Adolph Hitler hivyo hivyo mtavuna
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kahama: Mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto 10

    Kahama Shinyanga mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto wadogo wa kiume 10 aliokua anawafundisha kwenye msikiti.
  10. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Wafahamu watoto wa Rais wa Urusi, Vladimir Putin

    Kuna maswali wengi hujiuliza kama watoto wa Putin Rais wa Urusi wapo kwenye social media, inasemekana wanaweza wawepo kwa kutumia majina yasio kuwa yakwao kwa ajili ya usalama na wanaweza wasiwepo kabisa. Maiaha yao ni ya kipekee kutokana na hali ya kisiasa na kinachoendelea, wote hao wakike...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Video: Ona maisha ya upendo yalivyo kati ya ndugu hawa

    Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miili ya Watoto yaongoza kutelekezwa vyumba vya kuhifadhia Maiti

    Kati ya Miili 233 inayotarajiwa kuzikwa katika kaburi moja Ndani ya Wiki 3 zijazo, kwa sababu hakuna aliyejitokeza kuidai Kwa ajili ya kuzikwa, 217 ni ya Watoto na 16 ya watu wazima. Miili hiyo imekuwa imelazwa katika Chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) jijini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule ya chekechea waenda mashambani na kujifunza ujuzi wa kilimo mkoani Zhejiang, China

    Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mjamzito kunywa Kahawa kunaweza kusababisha Watoto wafupi

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa Oktoba 31, 2022 na taasisi ya JAMA Network Open inaonesha Watoto walioathiriwa na kiasi kidogo cha Kafeini kabla ya kuzaliwa wamebainika kwa wastani kuwa wafupi kuliko watoto wa watu ambao hawakutumia Kafeini wakiwa wajawazito. =======================...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa CPC ajitolea kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu

    Mwaka 1995 ulikuwa ni mbaya sana katika maisha ya Zhang Guimei, kwani ni mwaka ambao alimpoteza mume wake mpenzi aliyefariki kutokana na kuugua saratani, baada ya kutumia akiba yao yote kumpatia matibabu. Zhang Guimei ambaye amechaguliwa kuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Watoto wawili wateketea kwa moto kwenye banda la kuku

    Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    Hukumu imetolewa na Hakimu Mkazi John Mdoe wa Mahakama ya Wilaya dhidi ya Francis Julius Matiko mkazi wa Isevya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ya kuwadhalilisha watoto. Upande wa Mashtaka uliiambia Mahakama kuwa mshitakiwa kwa nyakati tofauti aliwalaghai watoto wawili wa kike kwa kuwapa Tsh...
  18. May Day

    JamiiForums Tanzania Kuwepo utaratibu kuwalinda watoto viwanjani wakati wa mechi

    Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela. Nilikuwa sijui kero ya haya madude mpaka wakati fulani Bwana mmoja alikuja nalo mahali nilipokuwa nafuatilia...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Mganga wa Jadi ahukumiwa kifo kwa kuua watoto wawili

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Pelekeni watoto Hospitali, msiwafunge hirizi –DC Tanga

    Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa, amewataka wazazi kuwapeleka hospitali watoto wanaozaliwa wakiwa na changamoto kama vile kuwa na vichwa vikubwa na mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi na kubaki nao nyumbani. "Kuna wakati unaona mtoto kazaliwa akiwa na changamoto tamaduni...
Back
Top Bottom