watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania RIPOTI IGAD: Watoto milioni 10 wana Utapiamlo Afrika Mashariki

    Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
  2. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi maalumu: Uzi wa Padri kulawiti watoto Vs Sheikh kulawiti watoto

    Habari za muda huu wana JF Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia. Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
  3. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Picha: Raia wa kigeni azunguka na watoto Kariakoo kuomba msaada

    Kwa kweli leo imenishinda nilishazoea kusikia mchina anauza madafu sijui karanga mitaan inakuw tunawahis hawa labda ma spy. Ila leo huyu jamaa anazunguka Kariakoo miskitin anaomba.hiv kwanin anatesa hawa watoto, kwanin asirud ubalozin akaomba msaada labda alipata na majanga yakasabisha ashindwe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukatiri dhidi ya watoto unasababishwa na ugumu wa maisha. Wazazi wengi hawana uhakika wa mlo wameathirika kisaikolojia. Serikali iingilie kati

    Watoto wanapigwa kwa kudokoa mboga. Watoto wanachomwa moto kwa kuiba dagaa Watoto wanafinywa kwa visu. Watoto wanashindia uji. Lakini mabwanyenye wa CCM wapo busy kula maisha.
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake

    Habari zenu jamiiforums. Mama wa umri wa miaka 62 technically hawezi kuwa na mtoto wa miaka 13 wa kufanya mtihani wa darasa la saba. FROM WIKIPEDIA === Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving since 19 March 2021 as the sixth (and first...
  6. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Katuni pendwa ya watoto ya Scooby-Doo yamtambulisha mmoja wa wahusika kama msagaji

    Katuni maarufu ya Scooby-Doo ambayo imekuwa ikionyeshwa katika chaneli mbali mbali kama Cartoon Network, imemtambulisha mmoja wapo wa wahusika kama msagaji (lesbian). Mhusika huyo anayeitwa Velma ameonyeshwa katika toleo jipya la katuni hiyo kama mwanamke anayevutiwa kimapenzi na mwanamke...
  7. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Watoto huwa wanacheza michezo hatari sana!

    Tazama hapa. wenyewe wanaona rahaa
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Akina baba msiwachokoze watoto wenu

    Waefeso 6:4 "Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana". Kabla ya yote niweke wazi kwamba ninaamini biblia ni kitabu kitakatifu chenye mafundisho yote muhimu kwa binadamu. Pia ni kitabu chenye kuburudisha na kusisimu sana. Kimsingi biblia ni...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Uyahudi alizaa watoto wawili, mkubwa aliitwa Ukristo na mdogo akaitwa Uislam

    Anaandika Robert Heriel, Ukristo na Uislam ni watoto wa baba mmoja aitwaye Uyahudi. Licha ya kuwa Ukristo ulitangulia kabla ya Uislam lakini Uislam kwenye ishu ya maadili upo makini zaidi kuliko Ukristo, na dini hizo zote mbili baba yao ni dini ya Kiyahudi (Judaism). Ukisema Ukristo ni mtoto...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Makamba kama Waziri wa Nishati na aliyofanya alipoteuliwa umenifanya niwakataze watoto wangu kuchukua masomo ya Sayansi

    Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo lake. Sasa kwangu mimi hilo nililiona lina walakini sana. Sina tatizo na Makamba kuwa waziri, lakini...
  11. Gama

    JamiiForums Tanzania Rais wa Chechnia Ramzani Kadyrov kupeleka watoto wake kumsaidia Putin

    Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele. Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani umri wao ni miaka 14, 15 na 16. Aidha, Rais huyo amerusha video zinazo onesha wanawe wakirusha...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

    JE NI HALALI MUME KULETA MTOTO WA NJE YA NDOA KATIKA NDOA YAKE/FAMILIA? Anaandika Robert Heriel, Shahidi, Sitompendelea yeyote, iwe Mimi mwenyewe au Nani. Tutakachoangalia Haki na ukweli . Huo ndio msingi na nguzo kuu katika Maandiko yangu bila kujali Nani atasema na atajisikiaje. Hilo...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mbaroni akidaiwa kujaribu kuua watoto wa kambo kwa sumu

    Mkazi wa Mtaa wa Igelegele kata ya Mahina wilaya ya Nyamagana, Kichere Mwita (48) anadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujaribu kuwauwa watoto wa kambo kwa kuwawekea sumu kwenye chakula. Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Oktoba 3, mke wa Kichere, Deniza...
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Wazazi zungumzeni na watoto wenu kuhusu Ubakaji na Ulawiti

    Nimekuwa nikisikia hili suala la wazazi kuzungumza na watoto wao, lakini sikuwahi kulifuatilia kwa kuwa mtoto wangu ndiyo kwanza ana miaka sita. Sikuwahi kuona kama kuna kitu cha maana kinachoweza kutuweka chini kuzungumza zaidi ya kumtuma lete hiki na kile na kumsaidia kazi zake za shule. “Ila...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya Watoto 100 wakosa elimu kutokana na kitongoji kukosa shule

    Zaidi ya Watoto 100 wa Kitongoji cha Maloweke Wilayani Gairo wamekwama kupata elimu ya shuleni licha ya kuwa na umri wa kwenda shule kutokana na kukosekana kwa shule katika eneo wanaloishi. Inaelezwa shule za karibu zipo umbali wa kilometa 11 kutoka eneo, hali inayowapa ugumu Watoto kutembea...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Usizae watoto wote na mwanamke mmoja

    Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Saratani ya Uvimbe Tumbo kwa watoto

    Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022. Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES Dr. Shakilu Jumanne Tunachoongelea hapa ni uvimbe unaotokea tumboni. Ni magroup ya magonjwa kadhaa yanayo sababisha saratani tumboni. Dr...
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe dhana ya kinyaa

    Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana. Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi, Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa lengo la kujifurahisha huyo hana kinyaa, Kuna vichaa ambao hadi wanaweka ulimuli, huu ni ugonjwa wa...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja wasipewe Asali

    Asali ni mojawapo ya vyakula vinayofahamika kuwa na sifa ya kubeba vimela vya masalia ya bakteria wanaoitwa Clostridium botulinum. Bakteria hawa ni hatari kwa watoto wenye umri chini ya mwaka mmoja kwa kuwa mfumo wao wa kinga za mwili hasa kwenye utumbo huwa bado ni dhaifu. Wanaweza kukaa humo...
Back
Top Bottom