Marekani wamegundua kuwa majiko ya gesi ni chanzo cha maradhi ikiwemo asthma hasa kwa watoto

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,205
5,964
Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa

====

Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma​

Blue flames rise from the burner of a natural gas stove

A blue flame from the burner of a natural gas stove. (David McNew/Getty Images)

The U.S. Consumer Product Safety Commission is considering a federal ban on gas stoves in response to a growing body of scientific research has linked them to a variety of health problems.

“This is a hidden hazard,” Richard Trumka Jr., an agency commissioner, told Bloomberg in an interview. “Any option is on the table. Products that can’t be made safe can be banned.”

The agency will begin public comment sessions this winter as it begins weighing restrictions on emissions from gas stoves that have found to be harmful to human health.

Last week, a study in the peer-reviewed International Journal of Environmental Research and Public Health concluded that gas stoves, which are used in roughly 40% of U.S. homes, were responsible for 12.7% of childhood asthma cases in the country. In all, the study found, gas stoves are responsible for giving asthma to 650,000 children in the U.S.

“When the gas stove is turned on, and when it’s burning at that hot temperature, it releases a number of air pollutants,” Brady Seals, a co-author of the study and the carbon-free buildings manager at the energy policy think tank RMI, told Yahoo News. “So these are things like particulate matter, carbon monoxide and nitrogen dioxide, along with others. So, for example, nitrogen dioxide is a known respiratory irritant. And the EPA, in 2016, said that short-term exposure to NO2 causes respiratory effects like asthma attacks.”

The dangers of using gas stoves have long been known. In 2013, a meta-analysis published in the International Journal of Epidemiology found that children living in homes with gas stoves were 42% more likely to experience symptoms of asthma than those that lived with electric ranges and ovens, while 24% were more likely to be diagnosed with lifetime asthma.

“Cooking with gas stoves creates nitrogen dioxide and releases additional tiny airborne particles known as PM2.5, both of which are lung irritants. Nitrogen dioxide has been linked with childhood asthma,” Wynne Armand, a physician at Massachusetts General Hospital, wrote in September at Harvard Health Publishing. “During 2019 alone, almost two million cases worldwide of new childhood asthma were estimated to be due to nitrogen dioxide pollution.”

Cory Booker

Sen. Cory Booker of New Jersey is one of a group of lawmakers concerned with the effects of gas stoves. (Elizabeth Frantz/Reuters)

In December, Sen. Cory Booker, D-N.J., and Rep. Don Beyer, D-Va., sent a letter co-signed by 18 Democratic lawmakers to Consumer Product Safety Commission Chairman Alexander Hoehn-Saric, asking the agency to take steps to limit the risks posed by gas stoves, which they said were more significant for lower-income Americans.

“These emissions can create a cumulative burden to households that are already more likely to face higher exposure to both indoor and outdoor air pollution. Statistics show that Black, Latino, and low-income households are more likely to experience disproportionate air pollution, either from being more likely to be located near a waste incinerator or coal ash site, or living in smaller homes with poor ventilation, malfunctioning appliances, mold, dust mites, secondhand smoke, lead dust, pests, and other maintenance deficiencies,” the letter stated.

Using a stove's ventilation hood greatly reduces the health risks associated with gas ranges and ovens, but many homes don't have them. And even using a hood doesn't obviate the health risks. A 2022 study by researchers at Stanford University found that gas stoves regularly leak, and that approximately 40 million units in the U.S. represent problems for human health as well as the emissions that cause climate change.

“Using a 20-year timeframe for methane, annual methane emissions from all gas stoves in U.S. homes have a climate impact comparable to the annual carbon dioxide emissions of 500,000 cars,” the study stated.

Given the number of gas stoves currently in American homes, new emissions restrictions could set off a political standoff. On Monday, Sen. Ted Cruz, R-Texas, offered a preview of that likely battle.

Yahoo News
 
... by far better hizo gas stoves kuliko majiko ya mkaa na kuni including za mikorosho, miembe, miti pori, mabua, etc. Bibi zetu wanapuliza hadi wanatia huruma macho mekundu kama damu, vifua visivyokoma, n.k. Hiyo ripoti ni very detailed kwa standards za Marekani huku kwetu ni zaidi ya pepo!

Vipi uchafuzi wa mazingira kupitia magari yasiyokidhi viwango? Zaidi ya 80% ya magari nchini ni hatari kwa mazingira na afya za binadamu; hilo nalo vipi?
 
Gesi hizihizi za Taifa ambazo kigogo alizunguka kugawa vijijini😳
Kwa third world countries hiyo gas ndio yenye uafadhali I guess this report wasn't meant for us.
 
Gas bado ni hatari kuliko magari soma hiyo aya-iko ya pili kutoka mwisho
“Using a 20-year timeframe for methane, annual methane emissions from all gas stoves in U.S. homes have a climate impact comparable to the annual carbon dioxide emissions of 500,000 cars,” the study stated.
 
Gesi hizihizi za Taifa ambazo kigogo alizunguka kugawa vijijini😳
Kwa third world countries hiyo gas ndio yenye uafadhali I guess this report wasn't meant for us.
Real? You must be joking mkuu maana sayansi haina mipaka
 
Gas bado ni hatari kuliko magari soma hiyo aya-iko ya pili kutoka mwisho
“Using a 20-year timeframe for methane, annual methane emissions from all gas stoves in U.S. homes have a climate impact comparable to the annual carbon dioxide emissions of 500,000 cars,” the study stated.
Majiko ya bongo hayatumii methane (a.k.a Natural gas).
 
Majiko ya bongo hayatumii methane (a.k.a Natural gas).
Methane inazaliwa pale jiko linapokuwa linawaka nadhani
soma hii
In addition to health risks, natural gas burning stoves also imperil the planet by releasing methane. While carbon dioxide gets the most attention in conversations about climate change, methane is a huge contributor to planetary warming. Following carbon dioxide, methane is the second most abundant greenhouse gas that humans have pumped into the atmosphere, accounting for about 20 percent of global emissions. Although methane dissipates more quickly than carbon dioxide, it is especially concerning because of its heat-trapping power, which is more than 25 times as potent as carbon dioxide. The team estimated that stoves emit between 0.8 and 1.3 percent of the natural gas they consume as unburned methane.
 
Methane inazaliwa pale jiko linapokuwa linawaka nadhani
Hapana mkuu.

Methane ndo inatumika kama mafuta(fuel) ambayo ukijumlisha na hewa(ya oxygen) pamoja na chanzo cha joto/moto ndio unapata MOTO.

Wenzetu wanatumia gesi asilia( natural gas/biomethane/biogas/methane) ambayo inasambazwa majumbani mwao. Ndio ile itasikia urusi inauza gesi asilia, mara ulaya wanauhitaji mkubwa wa gesi asilia ndio hicho wanachomaanisha mkuu.

Hapa tanzania mitungi yetu hii ina butane au propane.
 
Gas bado ni hatari kuliko magari soma hiyo aya-iko ya pili kutoka mwisho
“Using a 20-year timeframe for methane, annual methane emissions from all gas stoves in U.S. homes have a climate impact comparable to the annual carbon dioxide emissions of 500,000 cars,” the study stated.
Itakua Kuna nishati wamegundua wanataka kutuuzia
 
... tofauti ya butane au propane compared to methane kimazingira ni ipi?
Kiukubwa ni namna ambayo imetumika kupatikana mkuu.

Hizi butane na propane tunazotumia zinatokana na process ya refinery ya petroleum, ndio maana hata zikiwa zinasafirishwa in bulk wanasema ni liquidified petroleum gases(LPG).

Kwenye process zima ya refinery ya petroleum kuja hizo gesi ni rahisi kupata gesi safi ya hali ya juu(high quality/purity), tofauti na kufanya scrubbing kwenye gesi asilia ili ibaki hiyo methane pekee, na ni hayo makandokando ya gesi nyingine ndo yanaleta shida bila shaka, na si methane moja kwa moja.
 
Gesi hizihizi za Taifa ambazo kigogo alizunguka kugawa vijijini
Kwa third world countries hiyo gas ndio yenye uafadhali I guess this report wasn't meant for us.
Aisee gesi ya mitungi ya taifa ile gesi inatoa harufuu hatarii sijui gesi gani ile
 
Hapana mkuu.

Methane ndo inatumika kama mafuta(fuel) ambayo ukijumlisha na hewa(ya oxygen) pamoja na chanzo cha joto/moto ndio unapata MOTO.

Wenzetu wanatumia gesi asilia( natural gas/biomethane/biogas/methane) ambayo inasambazwa majumbani mwao. Ndio ile itasikia urusi inauza gesi asilia, mara ulaya wanauhitaji mkubwa wa gesi asilia ndio hicho wanachomaanisha mkuu.

Hapa tanzania mitungi yetu hii ina butane au propane.
Kwa maelezo yako sisi tunatumia gesi ilichakatwa zaidi siyo?
 
Gesi hizihizi za Taifa ambazo kigogo alizunguka kugawa vijijini😳
Kwa third world countries hiyo gas ndio yenye uafadhali I guess this report wasn't meant for us.
... watu wanajisahaulisha kuna a lot of things vimeshapigwa marufuku Ulaya na Marekani lakini kwa third world are still first class. Hazards za kuni na mkaa haziwezi kamwe kulinganishwa na za gas; never ever! Gas is still better.
 
Kiukubwa ni namna ambayo imetumika kupatikana mkuu.

Hizi butane na propane tunazotumia zinatokana na process ya refinery ya petroleum, ndio maana hata zikiwa zinasafirishwa in bulk wanasema ni liquidified petroleum gases(LPG).

Kwenye process zima ya refinery ya petroleum kuja hizo gesi ni rahisi kupata gesi safi ya hali ya juu(high quality/purity), tofauti na kufanya scrubbing kwenye gesi asilia ili ibaki hiyo methane pekee, na ni hayo makandokando ya gesi nyingine ndo yanaleta shida bila shaka, na si methane moja kwa moja.
Nakulewa-so tuna gas ya LPG inayotokana na kuchakatwa kwa petrol; na gesi inayotokana na gesi asilia. Ukisoma kwenye article wameeleza natural gas inazaa methane, wewe inaonyesha hukubaliani na hiyo hoja- unaweza kufafanua kidogo- kwa lugha rahisi tafadhali
 
Hakuna lolote mmarekani anafanya juhudi zote kumshusha mrussia, fitina ni kama ushirikina hana tofauti na mshirikina
 
Kwa maelezo yako sisi tunatumia gesi ilichakatwa zaidi siyo?
Sisi tunatumia gesi tofauti na wao.

Nakulewa-so tuna gas ya LPG inayotokana na kuchakatwa kwa petrol; na gesi inayotokana na gesi asilia. Ukisoma kwenye article wameeleza natural gas inazaa methane, wewe inaonyesha hukubaliani na hiyo hoja- unaweza kufafanua kidogo- kwa lugha rahisi tafadhali
Mkuu, natural gas haizalishi methane, bali hiyo methane ni sehemu ya natural gas.

Natural gas ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali kama: methane(70% ~ 90%), ethane, butane, propane, nitrogen, carbondioxide, sulphur, pamoja na maji(katika hali ya hewa/mvuke). Huo mchanganyiko wote hapo unawaka.

Wanavyosema kwamba gasi asilia inazalisha methane, ni lugha rahisi, ila ni kwamba baadhi haiungui na hivyo inatoka kama ilivyo. Carbondioxide inatoka kama ilivyo, nitrogen inaungana na gesi nyingine halafu ndio inaleta shida wanayosema hapo.
 
You are turning me into a slow learner, but in any case, thank you for trying, and I will keep trying to understand you.
 
Back
Top Bottom