watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda nahisi watoto wangu hawaijui hali halisi ya maisha naogopa wakija kuyajua ukubwani bila uangalizi watajifunza kwa maumivu na aibu

    Naanza kuona unapokuwa na uwezo usiwabweteshe sana watoto wakijua na kukariri maisha wanayoishi ni ya kawaida kwa kila mtu, sometimes ni bora kuwaonjesha kidogo maisha ya chini kwa uangalizi, yani maisha yawe balanced wayajue maisha ya chini na maisha unayoweza kuwapa, sio kuwakazia sana waishi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video watoto wakicheza kwenye kimbunga

  3. JamiiForums Tanzania Umezaliwa Dodoma ukakulia na kusomea Dodoma unaoa ama kuolewa upo Dodoma na kuzaa watoto ukiwa hapohapo. Wagogo mmerogwa?

    Wagogo pamoja na kwamba ni watani zetu ila huu sio utani acheni ufala bana Tz kubwa hii. Mmerundikana kama uyoga fala sana. Halafu mizaramo ndo haishauriki kabisa imetembea sana mwisho morogoro wa kwa waluguru yaani ni chupa na mfuniko. Haya makabila ilitakiwa liwe koloni la wasukuma...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  5. JamiiForums Tanzania Watu hawa watalia kwa uchungu kama watoto wadogo!

    Siku inakuja, siku mbaya ya kutisha, isiyofanana na siku nyingine yoyote. Siku ambayo ukweli wote utawekwa wazi, na kila mtu atasimama mbele ya kiti cha hukumu. Wachache watashangilia lakini wengi watalia kwa uchungu usioelezeka. Watu hawa watalia na kusaga meno: Wanaotenda maovu kwa siri...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto Wauzwa Kama Sukuma Wiki? Eastlands Baby Trafficking Ring Exposed – Love, Pressure na Money Zinafanya Watu Wavuke Line

    Wadau, hii story ni ya kushtua na inaonyesha vile society pressure inaweza kusukuma watu kufanya mambo ya ajabu sana. Nairobi Eastlands imechafuka after police kuvunja child trafficking ring yenye ilikuwa inauza watoto kama bidhaa. In Dandora na Embakasi South, wanawake walikuwa wanauziwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Mzee Gordon Odhiambo Odiero wamlilia RC Albert Chalamila wa DSM

    Apr 10, 2026 Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania WATOTO WA MAREHEMU MZEE GORDON ODHIAMBO ODIERO WAVAMIWA na MABAUNSA - WATIMULIWA NYUMBANI - WAMLILIA RC ALBERT CHALAMILA WA DSM - "BABA WAMEMUUA kwa PRESHA" https://m.youtube.com/watch?v=Ee__oTJQz5w Marehemu mzee Gordon Odhiambo Odiero...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Alawiti watoto wa miaka 5 na 7, aliwarubuni kwa pipi ya 400

    Dodoma: Alawiti watoto wa miaka 5 na 7, aliwarubuni kwa pipi ya 400
  9. JamiiForums Tanzania Pastor Nikki Shaboka, anakuambia hawezi kushindana na mwanamke aliyezaa naye watoto watatu. Ni ileile Facts niliyowapa. Mwanamke mzuri mzalishe watoto

    Hamjambo Wote! 1. Kuna wanaume wenye upeo Mdogo Sana. Ndio wale wanaotajwa wamezidiwa akili na wanawake. Ndio maana mambo madogo kama haya wanashindwa kuyaelewa. 2. Wanaume wote ambao uliwahi kuwaona hawababaishwi na Mapenzi wanatabia zinazofanana. Mojawapo ni kujua kuwatumia wanawake...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki chakula na watoto wenye mahitaji maalum, asisitiza upendo na wajibu wa jamii

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo Aprili 6, 2026, alipojumuika na watoto wenye mahitaji maalum...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya netflix kuwaharibu watoto wenu na maudhui ya kishoga sasa wamekuja na jipya la kuchafua ukatoriki.

    Wameandaa show ya kuonesha kuwa papa ni shoga na ana mahusiano na askofu.
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Watoto wadogo (under 18) kusoma Biblia bila uangalizi wa Mwalimu wa dini?

    Salaam Wakuu, Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo? Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa? Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth Samweli, Wimbo ulio bora nk. Kwa upande wangu naona si sahihi watoto kuachiwa Biblia wajisomee bila...
  13. JamiiForums Tanzania Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

    Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili. Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa Now, huwezi kulaumu...
  14. JamiiForums Tanzania Default state ya binadamu ni "Theist" Chunguza mindset na maswali ya watoto. Je, umewahi kuulizwa maswali tata na mtoto? Aliuliza nini?

    Mtoto mdogo mara nyingi huonyesha hali ya asili ya akili ya binadamu (default setting)kabla haijajazwa na uzoefu mwingi wa maisha. Ukiangalia mtoto anavyoitazama dunia, utaona ana mwelekeo wa kuona mambo yana kusudi na chanzo fulani. Akiona kitu kikitokea, mara nyingi swali lake la kwanza huwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mama mtu mzima kwa ajili ya malezi ya watoto, wa hiari mtu mzima

    Habari? Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na watatu 7. Wadada wa kazi wanasumbua sana. Mama na baba walitangulia tangu nikiwa mdogo, pia mke wangu...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa Iran wanaohusishwa vitani na Iran hatima yao vipi

    Watu wazima wakifa vitani huwa mnasema watapewa mabikira 72, sasa je hawa watoto, hamuoni kama itakua child pornography kuwapa mabikira kule, maana wanatumika kushika doria na kufia huko.... ============ An 11-year-old Iranian boy killed in recent fighting was at a Revolutionary Guard...
  17. JamiiForums Tanzania Watoto wamelala

    Ni muda wa kujiachia.. Masingo wanajigeuza tu vitandani Wakataa ndoa wako busy na chabo na vichelema🥸
  18. JamiiForums Tanzania Wakati wengine wakitupa watoto ama kutoa mimba.. Kuna wanaoiba watoto ili nao waitwe mama

    Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
  19. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: EX-Wife auza kiwanja cha mama mkwe baada ya aliyekuwa mumewe kushindwa kuhudumia Watoto

    Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati. Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne, Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…